Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

Dada angu Nilishtuka baadae saaana
 
Haya majina yana majanga sana nimeshakutana nayo haya naumiza sana.
 
Mapenzi ya kitoto raha sana...
Wote milikua mnaendeshana kama watoto...

Chapter Closed..
 
Mkasa mzuri mzee ulikuwa nyumbu ila ndio ujana wengi tumepitia nimemuonea huruma huyo mdada mwisho wake umekuwa wa hovyo akina dada usichana haudumu
 
Mkuu ila mwanzoni nilikuona boya ila mwishoni umekaza vizuri.

Huyoo Liz angekuharibia future ungesomesha mwisho wa siku angeolewa na mwanaume mwingine.

Garama ulizotumia angekwambia kwani shs ngapi tutakulipa na Mme wangu.
 
Picha zao please
 
Ndio ivyo mzee yashapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…