Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,877 Reaction score 4,522 Aug 25, 2022 #21 Lusungo said: Samahani maalim, huyu marehemu kastico ana undungu na Maudline kastico wa CCM? Click to expand... Ndio. Yule alikuwa waziri zanzibar na sasa kiongozi wa hamasa za chama tawala.
Lusungo said: Samahani maalim, huyu marehemu kastico ana undungu na Maudline kastico wa CCM? Click to expand... Ndio. Yule alikuwa waziri zanzibar na sasa kiongozi wa hamasa za chama tawala.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Aug 25, 2022 #22 Ungependeza mtaa aliyouishi na nyumba yake ilipo ukaitwa hivyo, Said kastico. Dhuruma itawamaliza watendaji wa kata.
Ungependeza mtaa aliyouishi na nyumba yake ilipo ukaitwa hivyo, Said kastico. Dhuruma itawamaliza watendaji wa kata.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Aug 26, 2022 #23 Marashi said: Ndio. Yule alikuwa waziri zanzibar na sasa kiongozi wa hamasa za chama tawala. Click to expand... Nashukuru kwa hii taarifa mkuu.
Marashi said: Ndio. Yule alikuwa waziri zanzibar na sasa kiongozi wa hamasa za chama tawala. Click to expand... Nashukuru kwa hii taarifa mkuu.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Aug 27, 2022 #24 Kuna watu wanapenda majina ya mitaa aise,wanaona ufahari Ova