Haikuwa sahihi kujenga Uwanja mwingine wa soka karibu na Shamba la bibi

Mleta hoja anamaanisha viwanja hivyo haviwezi kutumika sambamba, mechi moja Taifa nyingine uhuru kwa muda mmoja
 
Kweli tushinikize uwanja uvunjwe ulipo ukajengwe sehemu nyingine, mleta hoja hebu sema tukaujenge sehemu gani!?

Ungejengwa hata Tegeta, Bunju au Kibaha ili isiwe mbali na Dar
 
Haya ndiyo mapendekezo ya watanzania kuelekea uchumi wa kati, ukisikiliza mabwegenazi kama hawa utarudi hatua tisa nyuma, sometimes mukuLu huwaga mnamchefua kwa staili hii na hatawasikiliza.
 
umetoka kuamka au ulikuwa jela?

Maana bandiko lako linashangaza kidogo ,uwanja umejengwa tangu 2006 huko wewe unakuja kuongelea leo
Nisamehe mkuu , kipindi hicho nilikuwa nje ya nchi , halafu jambo baya lililofanyika miaka 10 haliwezi kunyamaziwa tu hata tunapokuja kustuka .

Ndio maana kuna wengine hufukua hata makaburi ya Marehemu waliokufa miaka 50 iliyopita ili kutafuta ukweli .
 
Haya ndiyo mapendekezo ya watanzania kuelekea uchumi wa kati, ukisikiliza mabwegenazi kama hawa utarudi hatua tisa nyuma, sometimes mukuLu huwaga mnamchefua kwa staili hii na hatawasikiliza.
Wewe ni mwanamichezo ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


haya bhanaaa [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…