Unamuacha Elias Maguli unachuku Pape Ndaw
ama kweli ukichagua sana nazi utaishia koroma
yule straika kama kweli i mzuri anahitaji muda lakini ukiwa professional naamini lazima uwe na vitu vya ziada kuliko mzawa,
na wakati mwongine makocha wanakua na tashwshwi kwa sababu hata Kiiza Mwalimu alishaoendekezwa akatwe