Kwanini? Weka hoja kwanini mwanaume asitumie hizo Emoj wakati hiyo ni lugha ya ishara ktk maandishi...Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
Mkuu jiwe gizani ....alaf hao hao wanaokula chips wanaenda dakika 10 tu lakini mwanamke tayar kashavunja mayai kama matatu hivi ....waache wale ugali [emoji119] [emoji23]Muwe mnatoa na sababu sio kuishia tu kusema tu hiki mara vile,maana kila mtu ana mitizamo yake na ndiyo maana wengine wanaona kula ugali ndiyo uwanaume japo anachapiwa mkewe na mwanaume wa Dar mla chips tu.
kama unachati na demu je?Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
for socially issues= for social issues...kwa nini lakini?Mwanaume hutakiwi kutumia emoji zozote kabisaaaa, i use whatsapp kwaajili ya business only, i don't use for socially issues
Mbona wewe umetumia kwenye hii post[emoji57] [emoji57] [emoji57]Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini? Weka hoja kwanini mwanaume asitumie hizo Emoj wakati hiyo ni lugha ya ishara ktk maandishi...
Umevuta bangi huko halafu unataka mawazo yako ya kibangi bangi iwe sheria..!!!
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309