Hair on men chest...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
I hv always been wondering about this thing; HAIR ON MEN CHEST.

I dont know whether girls like them or not. Can I hv some comments from the girls around Jf??

Madume ya kibongo wanazo hair ktk chest zao?? I guess ni wachache sana sana.......na mimi ninazo kidogo

we unazo?
 
ha ha ha....
Nahifadhi maoni yangu kwa sasa......
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in life

hahahaha Wewe mtoto watafuta matatizo na watu humu ndani, you could say it in better words. Personaly, sipendi ambaye hana au wale wenye kipilipili sana mpaka zinachoma. I just think its sexy for man to have facial hair more than I have.
 
Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
 
una akili za wahindi wewe?
huoni ni wajanja kwa kila kitu?

wajanja kwa kila kitu?
wanawapangishia wafanyakazi wao nyumba,
wanawaomba wafanyakzi wenzao waende kwenye ufunguzi wa barbara

Kaazi kwelikweli
 
Kwenye bold hapo naunga mkono, mwanaume without NDEVU ni NOMAR wengine ndio wanaua kabisa hata kamoustach kwishney
 
Kwenye bold hapo naunga mkono, mwanaume without NDEVU ni NOMAR wengine ndio wanaua kabisa hata kamoustach kwishney
Yaani hao ndo vilaza balaa
Nadhani kuna siri kubwa sana katika hizi nywele
 
Nywele zangu za kifuani zinanipa tabu sana. Nasumbuliwa na wadada yaan daah..
 
manywele utafilkiri msitu wa lebanon mi sifagilii kabisa tena inanichefua moyo kabisa.its my thinking:shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…