Hapo naona Smile umetutukana wengi. Nadhani ni kweli kwamba akutukanaye hakuchagulii tusi!wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
naona wewe ni mwathirika hapa pole sanaumeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.
Too much hair is jus disgusting akhaaa
naona wewe ni mwathirika hapa pole sana
Mimi hapa niko upande wako, sasa hawa ambao ni sawa na dada zao ndio full kulalama, mi zangu zinantosha ziko saizi, hazimkeri mtu na nazitunza.wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
kuna dawa za wachina lakiniaya bana...mimi sina!...kwa iyo ww unazo ndo ukapata uwezo wa kuandika hili SHUDU hapa?duh je ungekua huna?
umeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.
heri umwambie kakaLishe hujenga mwili imara wenye mifupa imara, meno imara, ngozi imara, nywele nyingi na nzuri Lishe bora hujenga akili ndio maana akahusisha nywele na akili mtoto akiwa stunt/mdumavu hawi na nywele nyingi na sio nywele tu kila kitu hadi ubongo unadumaa!
Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
ukweli ndo huo huna nywele wewe ni kilazaLove haitegemei na nywele kifuani inategemea na jinsi mtu mwenyewe alivyo na jinsi anavyoweza kuku-care. Wewe unatutukana hapa mchumba wako anazo? Je ana ku treat vizuri? Argument zako zote hujazifanyia research unakurupuka nadhani unamlenga boyfriend wako aliyekubwaga na hakuwa nazo period. ! wenye akili tunajua mtu akikurupuka na maneno makali we know what is behind the scene.
Smile, Smile!! Taratibu dada, bado hujaolewa na ushaanza kuwa na conclusion za ajabu ajabu. Siku ukiingia kwenye ndoa halafu shemeji unamwona anaivua hizo nywele kwenye kifua na kuziweka kando kama meno ya bandia utafanyaje?wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu