Hair on men chest...

Mwenzenu nami ni mwanaume napenda wanawake wenye nywele kifuani au ndevu balaa. wanajituma kwenye sita halafu zile nyele zina mvuto na kuongeza ashki



 
nendeni kwa daktari mkapate dawa kubishana na mimi haisaidii mkuu

Lol, kwa kweli umenigusa ngoja na mm nikamuangalie Baba D wng kama anazo!!!!!!!!!!!!! Hahahahahahah!!!!!!!!!!
 
Mwanaume Love garden Bwana..Nywele za kifua zina raha yake. mwanaume asipokua na ndevu hapendezi nitamtofautishaje na mimi sasa???? kunako mahabbah kuna rahha ya kuchezea hiyo kitu bhanna..inaleta usingizi mtamuuuuuuuuu

Du kinachokutofaustisha wewe na wanaume ni ndevu tu?
 
Is disgusting aee....

Ni sawa na mwanamke ambae hapitishi lawnmower katikati ya mapaja, makwapa chini ya kitovu na miguu pia. ..... yaaak 🙁
 
wajukuu zango hamjambo?!! mmmmh!! hapa "mchelea mwana kulia" maumbo ya mtu kwa jinsi yalivyo kwa wakati huashiria taarifa fulani kuhusu mtu huyo, lakini hili la nyele kifuani au ndevu wajukuu zangu halihusishi personality ya mtu, ni vile tu alivyo na accesss kubwa ya viotea nya mwili au udogo lakini bongo bado liko palepale.
 
Is disgusting aee....

Ni sawa na mwanamke ambae hapitishi lawnmower katikati ya mapaja, makwapa chini ya kitovu na miguu pia. ..... yaaak 🙁
We unaona disgusting kuna wanaume wanapenda wanawake wenye manyoa, imagine!!!
Ila kwangu ni absolute turn off aisee.
Ingekua attractive basi hata male models wangekua wanaziacha.
 
Ni ulevi wangu jamani kama huna we sepa tu ntalaliaje shuka lisilo na blanket? LOL..... kucha zitatelezaje kwenye shuka mhhhhhh........
 
We unaona disgusting kuna wanaume wanapenda wanawake wenye manyoa, imagine!!!
Ila kwangu ni absolute turn off aisee.
Ingekua attractive basi hata male models wangekua wanaziacha.

Yaaak..
Mi na manywele hatuelewani kabisaa.
Kama ulivyosema ni turn off completely ...

Nywele ni uchafu to be honest .. mtu hata
Akitembea tu ana toa jasho .. hilo jasho lote linanata kwenye manywele ndo ukutane na
Wale wanaooga mara moja kwa siku ..Duhhhh
au wale wanaona maji ni jehanam ...
Mmmhhhhh

Anyway nisiwakatishe tamaa wanaopenda manywele ..
 
Wengi wenye minywele mingi ni wachafu na akili zao ni chafu pia
 
We unaona disgusting kuna wanaume wanapenda wanawake wenye manyoa, imagine!!!
Ila kwangu ni absolute turn off aisee.
Ingekua attractive basi hata male models wangekua wanaziacha.
hatujasema anaezifuga,awe nazo tu naturally hata kama ananyoa
 
Yaani hao ndo vilaza balaa
Nadhani kuna siri kubwa sana katika hizi nywele
Aaah, kumbe!! sasa nimeelewa ni kwanini nikiomba mchezo mara moja wanataka wahamie kabisa. Mmenisaida, nitakuwa mwangalifu zaidi.
 
Aaah, kumbe!! sasa nimeelewa ni kwanini nikiomba mchezo mara moja wanataka wahamie kabisa. Mmenisaida, nitakuwa mwangalifu zaidi.
una kipara kila mahali wewe?
 
kula vizuri mkuu mpaka viishe sokoni...wewe kama una asili ya nywele chache haikusaidii kitu...mgoni unataka uwe kama mwarabu sio?
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili. Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
Nimekugongea like kwa kuwa
1. Nina nywele nyingi za kiume
2. Nina miakili kichizi
3. Nina chapa kitabu sana
4. Wewe una akili sana
 
Msome Smile hapa chini: Awe nazo naturally, hata kama ananyoa
Hapo sina shida, but ni bora kama hazitokuwepo kabisa, naturally.

hatujasema anaezifuga,awe nazo tu naturally hata kama ananyoa
Haya, kama anazo natually ahakikishe anayoa every now and then
Hata akiwa msafi, mi sizipendi tu: Sina ham nazo, sitaki kuziona.
 
Mi naona wewe umekokotoa ule usemi unaosema,akili ni nywele kila mtu anazake

kwahiyo kama una minywele mingi automatically utakua na akili nyingi
 
Ninyi wadada njooni kwangu mfaidi penzi, kumbe hayo ndo mnataka, njooni im still young only 28 na mtafaidi mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…