Hair on men chest...

kaaazi kweli kweli
matatizo yakizidi muone daktari

alafu ndo inatokea mwanamke kama wewe unaolewa unazaa mtoto wakiume anakipilipili then anakuwa andunje alafu kinene kipipa.unaweza juta kuzaa
 
kaaazi kweli kweli
matatizo yakizidi muone daktari

kama nyinyi mko sawa, Sasa mbona wanawake mnamambo ya ajabuajabu kiasi hicko?
Haya manywele ni ya mwakipesile Mungu alivyotuumba amehakikisha tuko vema vema sana.
 
mmh zisiwe tu kipili pili aisee!
ziwe lainiii....! if not bora usiwe nazo tuu.
 

mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh smile u always make my day.......................unanikumbusha ule wimbo wa binti kiziwi......
 
hahahaha Wewe mtoto watafuta matatizo na watu humu ndani, you could say it in better words. Personaly, sipendi ambaye hana au wale wenye kipilipili sana mpaka zinachoma. I just think its sexy for man to have facial hair more than I have.
Mungu wangu kumbe zinawachanganya hivi ngoja nianze kutembea kifua wazi, ili niweze kuongeza japo kitu kimoja ninachokubalika katika jamii
 
Mwanaume Love garden Bwana..Nywele za kifua zina raha yake. mwanaume asipokua na ndevu hapendezi nitamtofautishaje na mimi sasa???? kunako mahabbah kuna rahha ya kuchezea hiyo kitu bhanna..inaleta usingizi mtamuuuuuuuuu

kama mwanamke nae ana ndevu utamtofautishaje? tofauti ipo kwenye mpododo!
 
Hehehehe! Manywele raha kuyachezea chezea.... Tena hayo ndio safi.
 
ili uitwe mwanaume uwe na ndevu na hiyo "love garden" kidogo ya kifuani. sasa mwanamme unakimbilia 50 hata dalili ya vindefu hakuna, uso laini utadhani unapaka cream, excuse me...
 
MadamX na Smile, habari zenu kwa mpigo?:censored:
 
ili uitwe mwanaume uwe na ndevu na hiyo "love garden" kidogo ya kifuani. sasa mwanamme unakimbilia 50 hata dalili ya vindefu hakuna, uso laini utadhani unapaka cream, excuse me...

You are duly excused madam......:yo:
 
kuna room met wangu yeye anazo nywele kuanzia kichwani,nyusi nying ajabu,mandevu,kifuani ,mgongoni,mikönon,miguuni hadi kwenye tigo.mda anavaa nguo uwa nachekea moyo lakin jamaa anatisha alafu ni kipilipili .ukimwangalia utazani wadudu wamemnasa

hahahahah zile kipilipili hazuvutii hata kidogo, zinapalaza ile mbaya utafikili still waya
 
kuna dawa za wachina lakini

Hahaha,ume nichekesha sana.
I can imagine kila kitu kwako ni cha kichina tu.
Nita kupiga picha leo niilete hapa watu waone unavo
enda singida na kurudi dodoma kwa sababu ya mchina.
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
tatizo si kwa wanaume tu dada hata wanawake wanachangia kwa sehemu kubwa .mimi nilishaambiwa na ndugu zangu wa kike ninapo taka kuowa nisirizike na mwanamke kabla sijawafahamu wajomba zake na wadogo zake wakike na kiume ....coz watoto wetu watareflect na kwa mama yao pia.....
sasa wewev unakuta mama anakipilipili kama baba yeye ni shombe shombe hapo kashapotezwa watotowanaweza fuata kwa mama kama wajapan na wachina,
lililo muhimu acha kuponda wanaume kwa kuwaita vilaza hata wewe unachangia cheki ulivyo mfupi,,daily kuvaa mawigi kipilpil unakificha...
 
Kama ni kweli kwamba Wanaume wenye nywele nyingi mwilini ndiyo wenye akili, basi ma-genius wote, kuanzia Wanasayansi, Wanafalsafa kwenye historia ya binadamu, Wasomi wa aina mbalimabli, Viongozi na personalities wakubwa kwenye jamii, Nobel Prize Winners, n.k. katika historia binadamu wangekuwa na nywele sawa na masokwe (probably only so short of being qualified as masokwe au ma-gorilla halisi themselves)

Ama bada ya kusema haya, kwa jamii iliyo nyuma kiusomi na kimaendeleo kama ya Kitanzania, utajiri au hali nzuri kimaisha mara nyingi inamaanisha au inachukuliwa kama ni ishara ya akili kubwa au akili bora. Lakini, kama hii ingekuwa ni kweli, basi kwanini kuna Wanawake wengi waliofanikiwa kimaisha kwa kutumia akili, usomi, na juhudi zao pekee bila hata ya kuwa na ndevu mbili, na kuna Wanaume wengi wenye nywele mwili mzima ambao wanaishi kwa taabu na umasikini mkubwa, hadi kuishia kuuza njugu, madafu na machungwa mitaani.
 
nywele za kifua sikubaliani .. lakini ndevu! muhimu! bana .. unakuta mwanaume amechubua kedevu chote! uso utadhani wa mtoto ! alafu kasuka nywele.. na kipuli sikioni....:shock:
 
Kwenye bold hapo naunga mkono, mwanaume without NDEVU ni NOMAR wengine ndio wanaua kabisa hata kamoustach kwishney

Hapa unataka kuleta ugomvi kwa wamasai na wachaga, maana wengi hawana ndevu. Wengi wana vindevu vigodo kama beberu mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…