Hair Texturizer

meghan markle

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
489
Reaction score
1,192
Mamboz!!
Wanye uzoefu wa kazi za saloon/hair stylists natafuta Hair Texturizer,mwenye idea wapi naweza ipata naomba anielekeze.
Nimezunguka KKoo maduka hawana na wengine hawana hata idea ni kitu gani.
Nywele zangu ni natural na ndefu ,so nakua natumia muda mwingi kuzistyle asbh.
Texturizer inasaidia kulainisha nywele na kuretain mawimbi yake natural sio kama relaxer.
Anyone who knows wapi naeza pata nitashukuru sana.
 
Honestly sijui hata ulichoongea. Jaribu kule jukwaa la utanashati unaweza saidiwa....
 
Ngoja wataalam waje boss
 
Mwenzangu na mm nimecomment kumsikia huyo [emoji115]hapo juu tumevulugwa best[emoji2][emoji2]
Hahahahaha mmevurugwa tena so kidogo maana naona niko jukwaa sahihi [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi nikajishtukia nilijua niko Jukwaa is Inteligensia bwana!
 
Jaribu Dar free Market...kuna maduka ya vipodozi na mambo ya nywele pale...huwezi kukosa.
 
Jaribu S.H Amon pia..i used to buy At-One texturizer for kids,sijui kama bado wanazo.
 
Minimeanza kuchoka ndo maana nazilainisha.Inataka moyo kuzitunza though zikiwa ndefu unapendeza


Sisy angu anazo ndefu zina 6yrs...ila ana mateso aisee..dah..ila nataman lakin sina guts....!iko siku nitakata niweke rough
 
Sisy angu anazo ndefu zina 6yrs...ila ana mateso aisee..dah..ila nataman lakin sina guts....!iko siku nitakata niweke rough
Yeah af ukitaka kuwa natural usiwe na haraka weka rough ama suka, suka ....maana it's a process mpk zifike urefu nzuri
 
Yeah af ukitaka kuwa natural usiwe na haraka weka rough ama suka, suka ....maana it's a process mpk zifike urefu nzuri



Yaan nataman..alafu mm nywele zangu zina shukran..bas tu..eti naogopa ukwen kiweka rough..ila hubby he is okey with that ..na mama pia msabato ataniambia mhunj😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…