Haitatokea tena Rais wa Marekani na Urusi kula bata pamoja kama hivi

Viongozi hao wawali walionyesha ukomavu wa akili na hekima - hata Baba yake Bush Sr na mama yake walichangia sana kwa Bush Jr na Putin kuelewana kwa kiasi kikubwa - enzi zao hata Dunia ilikua imetulia sana, hapakuwepo utunishaji wa misuri na maneno ya uchonganishi yenye lengo la kuyafanya baadhi ya mataifa yasielewane.
 
Tatizo ni huyu Putin kuwepo madarakani kama rais wa milele dizaini ya wale madikteta wa Afrika wenye akili nyeusi.

Angepokezana madaraka na wenzake angebaki katika historia ya heshima daima.
 
Tatizo ni huyu Putin kuwepo madarakani kama rais wa milele dizaini ya wale madikteta wa afrika wenye akili nyeusi.
Angepokezana madaraka na wenzake angebaki katika historia ya heshima daima.
Hivi Russia imeshawahi kutumia mabomu ya Nuclear/atomic kuua watu popote pale duniani? Ni Taifa gani ovu kabisa duniani limewahi kutumia mabomu hayo hapa duniani mkuu?
 
Kwa Russia na USA sawa ila Bush hawezi sahaulika hapo mashariki ya mbali maana aliwapo dozi si kitoto. Amepigana sana huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…