Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
naamini wewe ndio unaakili za kuku tena kuku jike. haujui kuwa DPP anayo mamlaka kuagiza polisi wafanye upelelezi wowote. ulishawahi kuisoma the National Prosecutions service Act? au wewe ndio wale wanazunguka kwenye mitandao wakitukana watu wakimini wao wanajua kitu kumbe zero brain kabisa. hata wewe hapo ukifanya kosa, polisi wakachelewa kuanzisha upelelezi, DPP anayo mamlaka kuwaelekeza polisi wakupelekeze.Unaakili za kuku wewe
USSR
alivyofika congo, anatukebehi mno, akiwa na wale mabodigadi mwarab na mwenzie waliokuwa mabodigadi wa diamond, utafikiri na wao hawatakuja kurudi bongo.Jamaa ni mjinga sanna, nashangaa alikuwaje anaibia wabongo pesa zao, kama maana yake wabongp ni wajinga zaidi yake basi muache atucheke tu.
Kosa sio sadaka kosa laweza kuwa,DPP wanahusikaje na SADAKA?
ni kwasababu tu hawajapeleleza, watu kama hao ukipeleleza hawakosagi pesa chafu, lazima kuna jambo alikuwa anafanya hapo hata kuuza madawa au kusafisha hela ambazo wezi na mafisadi wengine walikuwa wanaziiba ili zionekane kama zilikuwa za sadaka.Serekali haina dini, sasa ukimkamata kwa kumwambia alitapeli watu atasema watu walileta kwake kama sadaka, na sadaka haina kiwango.
Makosa yake ni yapi?Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa lolote la huy tapeli mchawi?
Sasa kama Haina Dini kufukuzwa nchini Kwa kosa Gani?Serekali haina dini, sasa ukimkamata kwa kumwambia alitapeli watu atasema watu walileta kwake kama sadaka, na sadaka haina kiwango.
kwa mliokuwa mnasali kwake hapa mtamtetea tu. ila huyo akichunguzwa hakosi kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, utakatishaji wa fedha. pia, siamini kama wakichunguza katiba ya kanisa lake, kama ilikuwa inaruhusu kuombea watu kwa kutoa pesa, waangalie akama amekiuka kile alichosajilia, amefanya kosa gani kwa pesa alizochukua.Makosa yake ni yapi?
Mimi niwe muumini wake nisiwe muumini wake hilo weka pembeni.kwa mliokuwa mnasali kwake hapa mtamtetea tu. ila huyo akichunguzwa hakosi kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, utakatishaji wa fedha. pia, siamini kama wakichunguza katiba ya kanisa lake, kama ilikuwa inaruhusu kuombea watu kwa kutoa pesa, waangalie akama amekiuka kile alichosajilia, amefanya kosa gani kwa pesa alizochukua.
😄 waliyobaki wote nao matapeliKwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa lolote la huy tapeli mchawi?
Simply hilo ni kundi la wajinga lililovuna mapesa ya wapumbavu, waache watucheke tu.alivyofika congo, anatukebehi mno, akiwa na wale mabodigadi mwarab na mwenzie waliokuwa mabodigadi wa diamond, utafikiri na wao hawatakuja kurudi bongo.
kama ni wajinga, serikali inao wajibu kuwalinda. ndio maana mtu hata akiwa na mtoto zuzu au mjinga, bado anao wajibu kumlinda hivyo hivyo, pengine kuna siku atakuja kupata akili. serikali inao wajibu kulinda raia wake toka kwa watu aina ya kiboko cha wachawi. waangalie katiba ya kanisa lake, na yale aliyokuwa anafanya, na mashahidi waliotoa pesa hawawezikukosekana, wafungue shitaka hapo kisutu, watume extradition congo, wacongo ndugu zetu watampandisha ndege fasta ili tuone kama akiwa hapa bado ataendelea na ujinga wake huu.Simply hilo ni kundi la wajinga lililovuna mapesa ya wapumbavu, waache watucheke tu.
Soma post #9Mimi niwe muumini wake nisiwe muumini wake hilo weka pembeni.
Makosa yake ni yapi?
Au hayapo?