Kosa sio sadaka kosa laweza kuwa,
1. Wizi wa kuaminika
2. Kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu
3. Kudhihaki dini
4. Utakatishaji fedha
5. ...
Wataendeleza watu wa NPS.
Watu wametulia ukute hakuna hata jalada la uchunguzi ππ wakiulizwa watasema hakuna aliyekuja kulalamika.