Haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikiwa ni maalum kwa kuwa na speed isiyozidi 70?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
 
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha, je haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao,pia kuondosha kabisa tatizo hili.
Mbwembwe zote hizo nimebaki kushangaa tu NENO "Tunachokijua"

Hata Hivyo ni upepo unaopita sawa na yale maneno ya Muhenga, Mubashara, Wasiojulikana n.k..........[emoji124][emoji6]
 
Inawezekana kabisa ni kiasi tu cha kutoa oda kwa watengenezaji .. Ila haya yote yanategemea utashi wa kisiasa na tafakuri juu ya nguvu kazi inayopotea kila uchao
 
Kiuhalisia taifa lingekuwa linajali afya ya wananchi wake hii biashara pamoja na unafuu wake ingetupitwa jicho kali maana inahujumu uchumi wa nchi kwa
1. Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
2. Kupunguza hifadhi ya pesa za kigeni
3. Kuongeza yatima na wajane
4. Kuongeza watoto wa mitaani
5. Kuongeza walemavu
6. Kuua fikra na ndoto za vijana wengi
7. Kuongeza wategemezi
8. Kutumia muda mwingi kuhudumia majeruhi
9. Uharibifu wa miundombinu
10. Vifo na majeruhi kwa wapita njia na abiria

Hili kwakweli linahitaji mjadala mpana kitaifa.. Mapato yanayopatikana kwenye hiyo biashara hayalingani kabisa na hasara inayolipata taifa

Biashara hii ya bodaboda inahujumu uchumi wa taifa
 
Mbwembwe zote hizo nimebaki kushangaa tu NENO "Tunachokijua"

Hata Hivyo ni upepo unaopita sawa na yale maneno ya Muhenga, Mubashara, Wasiojulikana n.k..........[emoji124][emoji6]
Hilo neno hajaandika mleta mada, mkuu.
 
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Uko sahihi Ila mie ninachokijua pik pik ni mfumo, si unajua kutokomeza mfumo ni kazi?
Pikipiki zimetoa ajira kuanzia
Watengenezaji (wengi Chinese NA Indians),Wasafirishaji (meli tokea zinapotengenezwa) wasambazaji,Wauzaji NA hao boda boda, Serikali inapata kodi kupitia uagizaji NA uuzaji.
Mimi tathmini yangu binafsi naona tokea pikipiki zilipoanza kuingizwa hadi leo angalau ajali zimepungua kidogo.NA hii inatokana NA Semina mbalimbali kuhusu usalama barabarani.Shida sio hiki chombo cha usafiri Bali waendeshaji kutokua NA elimu ya usalama barabarani.Mimi naipongeza serikali imepambania kombe hasa upande wa semina kwa waendeshaji.Hata hivo wazo LA speed limit. Lingekua zuri sana iwe kama bajaj mwisho wao wa speed ni 80 KPH.Kutokomeza boda itakuwa kazi. Kwa vile ni world wide.
 
Uko sahihi mkuu, ingependeza kukawepo pikipiki aina 2, personal uses, and business purposes, hizi za biashara zikawekwa speed limitations, 65-70 top, nasi speed governor maana zitachezewa, IWE ndani ya mfumo wake 70 kph. Wadada wamama huwa wanaumia kwelikweli.
 
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
 
Kiuhalisia taifa lingekuwa linajali afya ya wananchi wake hii biashara pamoja na unafuu wake ingetupitwa jicho kali maana inahujumu uchumi wa nchi kwa
1. Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
2. Kupunguza hifadhi ya pesa za kigeni
3. Kuongeza yatima na wajane
4. Kuongeza watoto wa mitaani
5. Kuongeza walemavu
6. Kuua fikra na ndoto za vijana wengi
7. Kuongeza wategemezi
8. Kutumia muda mwingi kuhudumia majeruhi
9. Uharibifu wa miundombinu
10. Vifo na majeruhi kwa wapita njia na abiria

Hili kwakweli linahitaji mjadala mpana kitaifa.. Mapato yanayopatikana kwenye hiyo biashara hayalingani kabisa na hasara inayolipata taifa

Biashara hii ya bodaboda inahujumu uchumi wa taifa
Kosa kubwa ni kuruhusu bodaboda katikati ya mji boda wanatakiwa kuwa nje ya mji kusiko na magari mengi
 
Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
Mfumo huu endapo utafaa nchi zote Africa zitauchukuwa haraka maana maafa almost ni kwa Afrika nzima.
 
Kiuhalisia taifa lingekuwa linajali afya ya wananchi wake hii biashara pamoja na unafuu wake ingetupitwa jicho kali maana inahujumu uchumi wa nchi kwa
1. Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
2. Kupunguza hifadhi ya pesa za kigeni
3. Kuongeza yatima na wajane
4. Kuongeza watoto wa mitaani
5. Kuongeza walemavu
6. Kuua fikra na ndoto za vijana wengi
7. Kuongeza wategemezi
8. Kutumia muda mwingi kuhudumia majeruhi
9. Uharibifu wa miundombinu
10. Vifo na majeruhi kwa wapita njia na abiria

Hili kwakweli linahitaji mjadala mpana kitaifa.. Mapato yanayopatikana kwenye hiyo biashara hayalingani kabisa na hasara inayolipata taifa

Biashara hii ya bodaboda inahujumu uchumi wa taifa
Point namba 2 sijakupata

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi mkuu, ingependeza kukawepo pikipiki aina 2, personal uses, and business purposes, hizi za biashara zikawekwa speed limitations, 65-70 top, nasi speed governor maana zitachezewa, IWE ndani ya mfumo wake 70 kph. Wadada wamama huwa wanaumia kwelikweli.
Ikibadilishwa matumizi tokea business kuwa personal au vice versa inarudishwa tena kiwandani?

Kwa nini kuwa na sheria ndumila kuwili? Tuache ubinafsi!

Kwa nini kama spidi 70 ni salama zaidi isiwe hivyo kwa wote?

Ajabu na kweli binadamu hupenda restrictions kwa wengine ila si kwao. Yaani ni mkuki kwa nguruwe tu.

Naunga mkono bodaboda cap (limited eg 70km/h) speed kwa zote bila exception. Magari cap (limited eg 80km/h) speed kwa wote bila exception.
 
Kazi tuwaachie importers na viwanda, kwa serekali sioni kikwazo waki lobby deal linapita na linapitishwa,maana issue imekaa katika kuokoa uhai wa watanzania.
 
Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
Na huu ndio ukweli.

Hapa suala ni udhibiti na elimu tu.
Hata ukifuatilia kwa ukaribu utaona askari wa usalama barabarani wanadeal na magari tu ila pikipiki huwa kama hawazioni
 
Back
Top Bottom