Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mbwembwe zote hizo nimebaki kushangaa tu NENO "Tunachokijua"Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha, je haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao,pia kuondosha kabisa tatizo hili.
Inawezekana kabisa ni kiasi tu cha kutoa oda kwa watengenezaji .. Ila haya yote yanategemea utashi wa kisiasa na tafakuri juu ya nguvu kazi inayopotea kila uchaoHili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha, je haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao,pia kuondosha kabisa tatizo hili.
Hilo neno hajaandika mleta mada, mkuu.Mbwembwe zote hizo nimebaki kushangaa tu NENO "Tunachokijua"
Hata Hivyo ni upepo unaopita sawa na yale maneno ya Muhenga, Mubashara, Wasiojulikana n.k..........[emoji124][emoji6]
Eh! Hata mie nilijua ni lugha ya msimu huu wa Sikukuu!Hilo neno hajaandika mleta mada, mkuu.
Uko sahihi Ila mie ninachokijua pik pik ni mfumo, si unajua kutokomeza mfumo ni kazi?Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.
Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Na mabasi ya mikoani pia
Hapana, ni Melo na genge lake wakimaanisha wanachokijua ni empty katika mada husika.Eh! Hata mie nilijua ni lugha ya msimu huu wa Sikukuu!
heheheHapana, ni Melo na genge lake wakimaanisha wanachokijua ni empty katika mada husika.
Uko sahihi mkuu, ingependeza kukawepo pikipiki aina 2, personal uses, and business purposes, hizi za biashara zikawekwa speed limitations, 65-70 top, nasi speed governor maana zitachezewa, IWE ndani ya mfumo wake 70 kph. Wadada wamama huwa wanaumia kwelikweli.Uko sahihi Ila mie ninachokijua pik pik ni mfumo, si unajua kutokomeza mfumo ni kazi?
Pikipiki zimetoa ajira kuanzia
Watengenezaji (wengi Chinese NA Indians),Wasafirishaji (meli tokea zinapotengenezwa) wasambazaji,Wauzaji NA hao boda boda, Serikali inapata kodi kupitia uagizaji NA uuzaji.
Mimi tathmini yangu binafsi naona tokea pikipiki zilipoanza kuingizwa hadi leo angalau ajali zimepungua kidogo.NA hii inatokana NA Semina mbalimbali kuhusu usalama barabarani.Shida sio hiki chombo cha usafiri Bali waendeshaji kutokua NA elimu ya usalama barabarani.Mimi naipongeza serikali imepambania kombe hasa upande wa semina kwa waendeshaji.Hata hivo wazo LA speed limit. Lingekua zuri sana iwe kama bajaj mwisho wao wa speed ni 80 KPH.Kutokomeza boda itakuwa kazi. Kwa vile ni world wide.
Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeliHili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.
Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Kosa kubwa ni kuruhusu bodaboda katikati ya mji boda wanatakiwa kuwa nje ya mji kusiko na magari mengiKiuhalisia taifa lingekuwa linajali afya ya wananchi wake hii biashara pamoja na unafuu wake ingetupitwa jicho kali maana inahujumu uchumi wa nchi kwa
1. Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
2. Kupunguza hifadhi ya pesa za kigeni
3. Kuongeza yatima na wajane
4. Kuongeza watoto wa mitaani
5. Kuongeza walemavu
6. Kuua fikra na ndoto za vijana wengi
7. Kuongeza wategemezi
8. Kutumia muda mwingi kuhudumia majeruhi
9. Uharibifu wa miundombinu
10. Vifo na majeruhi kwa wapita njia na abiria
Hili kwakweli linahitaji mjadala mpana kitaifa.. Mapato yanayopatikana kwenye hiyo biashara hayalingani kabisa na hasara inayolipata taifa
Biashara hii ya bodaboda inahujumu uchumi wa taifa
Mfumo huu endapo utafaa nchi zote Africa zitauchukuwa haraka maana maafa almost ni kwa Afrika nzima.Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
Point namba 2 sijakupataKiuhalisia taifa lingekuwa linajali afya ya wananchi wake hii biashara pamoja na unafuu wake ingetupitwa jicho kali maana inahujumu uchumi wa nchi kwa
1. Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
2. Kupunguza hifadhi ya pesa za kigeni
3. Kuongeza yatima na wajane
4. Kuongeza watoto wa mitaani
5. Kuongeza walemavu
6. Kuua fikra na ndoto za vijana wengi
7. Kuongeza wategemezi
8. Kutumia muda mwingi kuhudumia majeruhi
9. Uharibifu wa miundombinu
10. Vifo na majeruhi kwa wapita njia na abiria
Hili kwakweli linahitaji mjadala mpana kitaifa.. Mapato yanayopatikana kwenye hiyo biashara hayalingani kabisa na hasara inayolipata taifa
Biashara hii ya bodaboda inahujumu uchumi wa taifa
Ikibadilishwa matumizi tokea business kuwa personal au vice versa inarudishwa tena kiwandani?Uko sahihi mkuu, ingependeza kukawepo pikipiki aina 2, personal uses, and business purposes, hizi za biashara zikawekwa speed limitations, 65-70 top, nasi speed governor maana zitachezewa, IWE ndani ya mfumo wake 70 kph. Wadada wamama huwa wanaumia kwelikweli.
Na huu ndio ukweli.Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli