Haiwezekani serikali kuwapangia wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi?

Haiwezekani serikali kuwapangia wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi?

Yani uelekezi wa bei ya nyumba ni inategemea na eneo ilipo na ubora wa nyumba. Yani kile kitu kinachokufanya uihitaji hiyo nyumba ndicho hicho kinaifanya nyumba iwe na bei isiyo rafiki. Mfano bei ya frem Kariakoo hawezi kuwa sawa bei ya frem Kibaha. Ila Mungu ni mwema...one day yes!!
 
Hivi haiwezekani serikali kuwapangia hawa wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi kutokana na ubora wa nyumba zao?
Komaa ujenge nyumba yako mkuu, hizo kero za nyumba za kupanga bado ni donda ndugu nchi hii.
Hili litakwisha ikiwa tu serikali ama shitika la nyimba itakuwa na uwezo wa kumiliki nyumba nyingi na kuzipangisha.
 
Na hili haliwezi kufanikiwa maana hao wanaofanya maamuzi ndio wanamiliki apartments.
Komaa ujenge nyumba yako mkuu, hizo kero za nyumba za kupanga bado ni donda ndugu nchi hii.
Hili litakwisha ikiwa tu serikali ama shitika la nyimba itakuwa na uwezo wa kumiliki nyumba nyingi na kuzipangisha.
 
Kujenga ni gharama sana ,jitahidi kuheshimu wenye nyumba zao na kulipa Kodi kwa wakati sababu mchakato wa kujenga kwa mtu mwenye kipato cha kati ni jasho la kunuka
 
Back
Top Bottom