Mm ni mpagani lakini ngoja nikujibu tu na haimaanishi siijui biblia nshaisoma sana nimechokaKanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Wewe badala ya kujibu Hoja, unaleta ujuaji.Mm ni mpagani lakini ngoja nikujibu tu na haimaanishi siijui biblia nshaisoma sana nimechoka
Kwaiyo ndo mnafundishana kujiona bora na kuona wengine mashetani tena mnawanyooshea vidole kabisa mnasaligi nn huo upendo gani.
Kwaiyo kusali jumamosi ndo inawafanya nyie mjione maserafi na makerubi
Nyinyi ni wajuaji sana watu wenye akili timamu tunawaona mmjeaa mihemko tu.
😂😂Wewe badala ya kujibu Hoja, unaleta ujuaji.
Hilo bichwa lako Hilo
Wewe badala ya kujibu Hoja, unaleta ujuaji.
Hilo bichwa lako Hilo
Na usiweWewe badala ya kujibu Hoja, unaleta ujuaji.
Hilo bichwa lako Hilo
Haina shida lakini wasinyooshe wengine vidole kwa ubaya kama dini yao ndio takatifu wakae nayo watulieWasabato nawakubali sana mafundisho Yao hawapindishi.
Jinsi sisi rc tunavyowaona akina mwamposa ni watapeli na wasabato wanatuona vilevile.
Kama wanayo sema ni uongo tuwe tunapinga Kwa maandiko sio blah blah maana wao wanasema Kwa maandiko na ushahidi wa vitabu vyetu.
Mbona sisi mwamposa tuna msema ni tapeli?Na usiwe
Haina shida lakini wasinyooshe wengine vidole kwa ubaya kama dini yao ndio takatifu wakae nayo watulie
Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.Nioneshe mkuu siyo ugomvi. Liweke hapa
Mathayo 12:8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.Nioneshe mkuu siyo ugomvi. Liweke hapa
Mimi sisemi mtu yeyote ata saiv ukiniambia wewe ni malaika mabawa yako umeyatunza mahali sina shida mm😂Mbona sisi mwamposa tuna msema ni tapeli?
Nikawaida kabisa kuwaambia watu ukweli pale ukiona kanisa Hilo linaemda kinyume na maandiko yetu (biblia) binafsi Mimi sionagi kero Kwa wasabato kutusema na Bahati nzuri wanakuwa na maandiko ya kuthibitisha.Mimi sisemi mtu yeyote ata saiv ukiniambia wewe ni malaika mabawa yako umeyatunza mahali sina shida mm😂
Wewe hutakuwa wa kwanza kutuonq hatuna akili maana ukiisoma Historia wale wote walioamua kusimamia neno walionekana hawana akili na wazushi. Wasabato wanaihubiri kweli ya neno la MunguWe unawaona wasabato wako sawa kiakili? Kutana na wasabato uone nati zilivolegea.
Ukitaka kumchukia jirani lazima kila siku utawaambia watoto wako "nikimwona mtu anakwenda kwa jirani, atanikoma." Hivyo, watoto hata bila kujua sababu na wao watakapokuwa watu wazima, wataanza kuwaambia watoto wao "baba/mama walikuwa wanatukataza kwenda kwa jirani yetu...na nyinyi nisimwone mtu." Hao Wana 'obsession' na si mjini tu, hata vijijini. Ninakotoka Mimi huwa wanafanya makambi na siku ya kumaliza makimbi yao ndiyo huwa wanalishambulia Kanisa Katoliki. Lakini mtaani mkikutana wanajikausha. Sasa hivi kuhusu mafundisho kama haya, silazi damu...mtu akiliamsha na mimi naliamsha mpaka kinaeleweka. Kwa upande mwingine, Wakatoliki hatuna shida. Tutaendelea na hamsini zetu - kusali kwa namna tunavyoguswa na kusaidia kuleta maendeleo katika nchi yetu kwa njia ya huduma za elimu, afya, nk. Tumewekeza sana kwenye elimu: sasa hivi baadhi ya mapadri na watawa wetu (waume kwa wanawake) kulingana na eneo la utume wa mtu, wanasoma sheria za nchi, hata kwenda law school kwa lengo la kujiimarisha katika uinjilishaji na pia kuhakikisha tunakuwa na wataalamu wanaoweza kutushauri katika mambo mbalimbali ya kiraia kuhusu mikataba, uwekezaji, afya, elimu, mazingira, na maendeleo kwa ujumla na ili hata kama ni kutoa tamko au barua ya kichungaji iwe na maudhui yanayokidhi vigezo vya kisheria. Big up Kanisa Katoliki!Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
Mkuu nani alikusanya hivyo Vitabu? Mwaka gani?Wee mjinga nini, Biblia iliandikwa na Akina Musa, Isaya , mitume wa Yesu , na kwakua zama hizo hakukua na Means ya kuandika kwenye makaratasi, na kufuatia mateso waloyapitia , Watu Hawa walilazimika kuandika kwenye magome na nguo .
Baada ya RUMI Pagani kuukubali Ukristo, ndipo likaamshwa vuguvugu la kuvikusanya vitabu hivo ma kuviweka pamoja, with time Wakatoa maandiko kwenye magome ,nguo, mawe, na kuyaleta kwenye makaratasi.
Sasa wee kizazi niambie, katika hao nani aliandika Bibla??.
Ulivyo lijinga, Hujui kua Biblia ni neno la Mungu aloliandika mwenyewe kupitia Watumishi wake.
Wewe kiaziiii, Kwa amatope yako kichwan Unamaanisha kua hata AMRI KUMI ZA MUNGU ,ziliandikwa na Roman??.
Jinga kabisaaaa
Wewe unayewaambia wengine ni ukweli gani ulio nao wa kuangalia 6 kama 9 kutegemea na sehemu uliko?Nikawaida kabisa kuwaambia watu ukweli pale ukiona kanisa Hilo linaemda kinyume na maandiko yetu (biblia) binafsi Mimi sionagi kero Kwa wasabato kutusema na Bahati nzuri wanakuwa na maandiko ya kuthibitisha.
Unaulizwa kwanini mna masanamu makanisani mwenu Ili Hali biblia imekataza.....unapitia kushoto huyooo😂😂
🤔🤔🤔🤔Alafu hata hawajibiwi.
Inauma sana ukijipanga kwa vita kwa silaha kibao alafu adui yako anakudharau.
Kuna kitabu nimekiweka hapo kitakusaidia kujua kwa Mara ya kwanza nani alikusanya hizo gombo zikawa bibliaMkuu nani alikusanya hivyo Vitabu? Mwaka gani?
Hao takataka sio ata wakristo. Ni ubatili mtupu.Yaani wasabato wanaamini wao ndio wataona pepo kwakuwa wanasali siku ya jumamosi. Na ktk ukristo wnajiona wa special sana