Unajibu nini takataka? Kanisa lina experience ya kupingwa kwa kila aina ya hoja tangu linaanza 33 A.D mpaka leo, limepitia kila kipindi, hao ni wadogo sana, limepangua hoja kibao za maana, mfano Utatu Mtakatifu, Umungu wa Yesu, Bikira Maria kuwa mama wa Mungu, kuhukumiwa na tawala ya Rumi, leo ndio vinuka mkojo vya 1800 na kitu vitusumbue kweli? Tunafocus kwenye mambo yetu ya msingi yanayotujenga kiroho na kimwili sio upupu huo.Alafu hata hawajibiwi.
Inauma sana ukijipanga kwa vita kwa silaha kibao alafu adui yako anakudharau.
Wasabato nawakubali sana lo
Ukweli ni kwa sababu mosi,wakatoliki wengi hawana uelewa na dini,pili ni ngumu kutetea ukatoliki kwa kutumia bible, ukatoliki kwenye bible wamemchukua yesu tu na mama yake mengine wamebuni nje ya bibleNa hii ndo silaha kubwa sana kwa wakatoliki. Utuseme uwezavyo, tunakuangalia, baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Dominika tunaenda zenu kanisani. Ukiupenda ukatoliki, wewe mwenyewe, tafuta kanisa liliko then fuata taratibu zake kwishaa..!! Huutaki ukatoliki baki huko uliko hakuna mtu atakuja kukuhubiria uingie ukatoliki.
Mkuu Maadamu umesoma hicho kitabu basi wewe tuambie tu nani alikusanya hivyo Vitabu?Kuna kitabu nimekiweka hapo kitakusaidia kujua kwa Mara ya kwanza nani alikusanya hizo gombo zikawa biblia
Maelezo marefu bila kujibu hoja ya MsingiMimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.
Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%
Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.
Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?
Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.
Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.
Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.
Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri ya kutamani ikamegwa mara2
Yaani walisema usitamani Mali ya jirani
Tena wakasema usitamani mke wa jirani. Ukiwa na akiri ya kawaida tu utajua hapa hakuna tofaut kati ya kutamani nyumba ama gari ni Sawaswa tu nakutamani shamba au mti wa jirani Yako.
Papa anaitwa Baba mtakatifu (hili yesu alilikataa) alisema Tena msimuiye mtu Baba duniani Kwa maana Baba yenu ni mmoja.
Swala kutubu dhambi ni mdhambi na Mungu mwenyewe walakini huku kwetu tunaungama Kwa padri dhambi zetu.
Maandiko yanatuambia anepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee rc ni tofauti padri,askofu na papa husujudiwa.
Kwahiyo wasabato wanapo tuandama basi tujue wazi wanatuelekeza kuwa Hivi na vile haipaswi Kwa sababu wote tunatumia biblia Moja Ile Ile.
Kosa lao liko wapi? Ni nani asiye jua kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni papa(joka)?
Shida yetu sisi wakatoliki biblia tunasomewa tu na ukitoka huko upo empty set
Yaani Unakutana na SoMo la kwanza la pili na injiri basi kateksita atafafanua anavyojua yeye uelewe usielewe imetoka hiyo! Lkn Kwa wenzetu ni tofauti kati ya watu 10 utakao kutana nao 7-8 Wana biblia na wakifika church wanakuwa busy na biblia pastor akitaka fungu anahakikisha wote wamefika na anasoma yoyote aliyefika Hilo fungu/Aya. Sisi ana andaliwa wa kusoma SoMo la kwanza na la pili na yeye ukimuuliza baada ya ibada hakumbuki.
Wakatoliki kati ya watu 50 utakao kutana nao basi 1-2 ndo utawaona Wana biblia na wote hata anaweza fika kanisani na asiitumie na akifika nyumbani inawekwa kwenye kabati au kwenye bag la nguo Hadi jpili ijayo Tena.
Lakini ukienda family ya msabato biblia na baadhi ya vitabu vyao utavikuta mezani sebreni hii ni lazima utakuta na kwenye familia lazima ukutane na biblia zaidi ya 3+ kulingana na watu waliopo.
Tuta laumu sana wasabato hili Kuna kipindi nilikuwa nakaimu u kateksita nilikuwa nawaambia hadharani wasabato kwann wanatuzidi sana kusoma maandiko wao Wana Nini hasa?
Jambo jingine ambalo lilisababisha waniondoe uenyikiti wa jumuiya ni kupambana mwanajumuiya wangu apate haki ya mazishi ya mtoto wake licha ya kuwa alikuwa hatoi mchango.
Wanajumuiya walikataa na kumwambia paroko kuwa huyu Huwa hatoi michango Leo kapatwa na tatizo anataka huduma sisi hatupo Tyr.
Paroko akaniambia nikasema nikweli hatoi michango lkn ni muumini mwenzetu hakujali mtoto akazikwa na walokole nikaachia uenyikiti wa jumuiya tangu siku hiyo.
Ukitaka kujua kwanini sisi hatu wa challenge wasabato utagundua Kila wanachosema Wana USHAHIDI nacho wa maandishi na huwezi bishi utaumbuka na viongozi wetu wote wanajua kabisa kuwa yote yanayosema na jamaa Hawa ni ya kweli.
Tubadirike. Tuache majungu.
Ukija kwao nao wasabato wanajiona sana na wao Wana madhaifu Yao mengi tu.
Hoja yangu ni kuwa Kanisa Katoliki usilifananishe na hao wababaishaji.Mimi ni rc. Wewe hoja Yako Iko wapi hapo?
Siku ya saba ni Jumamosi,kwa mujibu wa Mungu au Kalenda? Au Mungu alianza kuumba dunia siku gani? What if alipumzika Jumatatu, Jumanne,Jumatano au Alhamisi inamaana wao wanakosea? Maana wakati dunia imeumbwa kulikuwa hamna kalenda.Mimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.
Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%
Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.
Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?
Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.
Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.
Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.
Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri ya kutamani ikamegwa mara2
Yaani walisema usitamani Mali ya jirani
Tena wakasema usitamani mke wa jirani. Ukiwa na akiri ya kawaida tu utajua hapa hakuna tofaut kati ya kutamani nyumba ama gari ni Sawaswa tu nakutamani shamba au mti wa jirani Yako.
Papa anaitwa Baba mtakatifu (hili yesu alilikataa) alisema Tena msimuiye mtu Baba duniani Kwa maana Baba yenu ni mmoja.
Swala kutubu dhambi ni mdhambi na Mungu mwenyewe walakini huku kwetu tunaungama Kwa padri dhambi zetu.
Maandiko yanatuambia anepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee rc ni tofauti padri,askofu na papa husujudiwa.
Kwahiyo wasabato wanapo tuandama basi tujue wazi wanatuelekeza kuwa Hivi na vile haipaswi Kwa sababu wote tunatumia biblia Moja Ile Ile.
Kosa lao liko wapi? Ni nani asiye jua kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni papa(joka)?
Shida yetu sisi wakatoliki biblia tunasomewa tu na ukitoka huko upo empty set
Yaani Unakutana na SoMo la kwanza la pili na injiri basi kateksita atafafanua anavyojua yeye uelewe usielewe imetoka hiyo! Lkn Kwa wenzetu ni tofauti kati ya watu 10 utakao kutana nao 7-8 Wana biblia na wakifika church wanakuwa busy na biblia pastor akitaka fungu anahakikisha wote wamefika na anasoma yoyote aliyefika Hilo fungu/Aya. Sisi ana andaliwa wa kusoma SoMo la kwanza na la pili na yeye ukimuuliza baada ya ibada hakumbuki.
Wakatoliki kati ya watu 50 utakao kutana nao basi 1-2 ndo utawaona Wana biblia na wote hata anaweza fika kanisani na asiitumie na akifika nyumbani inawekwa kwenye kabati au kwenye bag la nguo Hadi jpili ijayo Tena.
Lakini ukienda family ya msabato biblia na baadhi ya vitabu vyao utavikuta mezani sebreni hii ni lazima utakuta na kwenye familia lazima ukutane na biblia zaidi ya 3+ kulingana na watu waliopo.
Tuta laumu sana wasabato hili Kuna kipindi nilikuwa nakaimu u kateksita nilikuwa nawaambia hadharani wasabato kwann wanatuzidi sana kusoma maandiko wao Wana Nini hasa?
Jambo jingine ambalo lilisababisha waniondoe uenyikiti wa jumuiya ni kupambana mwanajumuiya wangu apate haki ya mazishi ya mtoto wake licha ya kuwa alikuwa hatoi mchango.
Wanajumuiya walikataa na kumwambia paroko kuwa huyu Huwa hatoi michango Leo kapatwa na tatizo anataka huduma sisi hatupo Tyr.
Paroko akaniambia nikasema nikweli hatoi michango lkn ni muumini mwenzetu hakujali mtoto akazikwa na walokole nikaachia uenyikiti wa jumuiya tangu siku hiyo.
Ukitaka kujua kwanini sisi hatu wa challenge wasabato utagundua Kila wanachosema Wana USHAHIDI nacho wa maandishi na huwezi bishi utaumbuka na viongozi wetu wote wanajua kabisa kuwa yote yanayosema na jamaa Hawa ni ya kweli.
Tubadirike. Tuache majungu.
Ukija kwao nao wasabato wanajiona sana na wao Wana madhaifu Yao mengi tu.
Nasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", periodHuwezi kuelewa hayo Kwa sababu bichwa lako limeegemea kwenye miujuza.
Dhehebu pekee hapa Duniani lililofanikiwa kuijua Siri ya unabii ya vitabu VYA Ufunguo na Daniel, ni Wasabato.
RC viongozi wanaujua huo unabii ila wanajitoa ufahamu tu
Wewe umechanganyikiwa. Hakuna unalolojua.Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Umelenga nini hasa kwenye6&9?Wewe unayewaambia wengine ni ukweli gani ulio nao wa kuangalia 6 kama 9 kutegemea na sehemu uliko?
Kama Bado hujui hata siku ya Saba ni lini hili inathibitisha hata ukatoliki wenyewe umeubaka tu yaani hujui.Siku ya saba ni Jumamosi,kwa mujibu wa Mungu au Kalenda? Au Mungu alianza kuumba dunia siku gani? What if alipumzika Jumatatu, Jumanne,Jumatano au Alhamisi inamaana wao wanakosea? Maana wakati dunia imeumbwa kulikuwa hamna kalenda.
Mikononi mwa Baba akoMjinga Mmoja weee, huyo papa alikufa akiwa mikononi mwa Akina nani??.
Nipe hilo neno Jumapili siku ya kwanza ya juma? Je nakuuliza Mungu alianza kuumba dunia Jumapili...... na imeandikwa wapi.... hujanijibu mpaka sasa.Kama Bado hujui hata siku ya Saba ni lini hili inathibitisha hata ukatoliki wenyewe umeubaka tu yaani hujui.
Kila mwaka tunaazimisha pasaka na pasaka lazima iwe jpili ukisoma injili ya mathayo,Marko na Luka inasema wazi jpili ni siku ya kwanza ya juma.
Sasa Anza kuhesabu kuanzia jpili Hadi jmos utapata jibu.
Sisi tunataka kujifunza nimewahi muuliza paroko Tena sio mmoja alinijibu vzr tu kuwa kanisa lilibadiisha utukufu wa jmos na kuleta jpili kwenye mithali Ile mikubwa imeandikwa hii ukurasa wa372 kama sijakosea.
Kanisa liliona ibada iwe siku aliyo fufuka yesu.
Kwa hiyo kuwa Bwana wa Sabato maana yake ni kuwa Msabato?Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
Kwenye akili Yako toa neno jpili weke siku ya kwanza,pili,tatu nk.Nipe hilo neno Jumapili siku ya kwanza ya juma? Je nakuuliza Mungu alianza kuumba dunia Jumapili...... na imeandikwa wapi.... hujanijibu mpaka sasa.
Huyo Paroko umemuuliza peke yako,si wengine tunao kwenye familia zetu.
Achana na Paroko nipe andiko linalosema Mungu kaanza kuumba dunia Jumapili......
Yameandikwa wapi siku ya kwanza ni Jumapili au labda nyie mna biblia ya kwenu peke yenu.Kwenye akili Yako toa neno jpili weke siku ya kwanza,pili,tatu nk.
Baada hapo kabishane na familia yako. Kwa mujibu wa biblia siku ya kwanza ya juma ni jpili.
Sasa ni rasmi kabishane na mke wako.
Maandiko siyo Simba na yanga kuwa ni ushabiki tu kusoma nao sio issue hata sisi tumesoma nao vilevile.Yameandikwa wapi siku ya kwanza ni Jumapili au labda nyie mna biblia ya kwenu peke yenu.
Sasa mbona mkali weka reference na sio kuzusha na kuungaunga.Mara ohooo kuna Paroko na ongea nao sasa ukiongea nao ndio inakuwaje,si wengine tumesoma nao.......... Mara ohooo mimi mkatoliki mbarikiwa kwa hiyo ukiwa mkatoliki then what.......
Halafu hivi kwa mfano mtu akiamua siku ya kufanya ibada kwake iwe jumatano, huku akiizishika na kuziishi amri za Mungu,vipi huyu hato muona Mungu.
Mbona unakuwa kituko,Okay Kuna sehemu uliyo andika inasema Mungu alipumzika siku ya Saba (Jumamosi),kuna sehemu inaonyesha tunatakiwa kusali na kupumzika hiyo Jumamosi ya Sabato au kuna sehemu kwenye hicho ulicho kiandika kinasema Jumapili ni siku ya kwanza ambayo Mungu alianza uumbaji.Maandiko siyo Simba na yanga kuwa ni ushabiki tu kusoma nao sio issue hata sisi tumesoma nao vilevile.
Msabato Hana biblia Wala hatungi biblia .Biblia zote zinatungwa na katoriki wao wananunua tu.
24 Siku ya Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake wali chukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa wakaenda kaburini. 2 Wakakuta jiwe limeondolewa kwenye mlango wa kaburi. 3 Lakini walipoingia ndani, hawakuona mwili wa Bwana Yesu. 4 Walipokuwa wanashangaa juu ya jambo hilo, ghafla, watu wawili waliokuwa wamevaa mavazi yanayong’aa sana, wakasimama karibu nao
Soma Kwa biblia Yako