sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Niwapongeze wanaume wa Kanda ya ziwa ama hakika Mungu alituumba vilivyo na kutubaliki.
Sina maana vidume wa mikoa mingine ni Walegevu ila kiukweli mwanaume wa Kanda ya ziwa hawezi fananishwa na mikoa mingine.
Najua mtanisi ila kwetu sisi ni jambo la aibu kubwa sana mtoto wangu niliyemzalisha mama Bhoke au Mnaka afanye kosa halafu mimi nijitokeze hadharani kuomba mwanaume mwingine anisadie kumwadhibu eti kwa mujibu wa sheria.
Hakuna kitu kama hicho na hakuwezi kutokea kamwe mtoto nimzae Mimi afanye kosa nishindwe kumtamdika?kisa ni mkubwa?
Namkumbuka Mzee Magufuli mwanae aliwahi mtusi mlinzi wa St Mathew sijawai sahau kichapo alichokila huyo mtoto mpaka huwa nikikutana na huyo jamaa namuitaga chakulia tu.
Inakuaje Simbachawene mwannao anazingua unashindwa kumtia hata Kofi? Wanaume wa mikoa mingine mnatutia aibu.