ENT
Member
- Apr 19, 2014
- 34
- 2
Mambo wana JF Doctor,
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji njia ya haja kubwa yenye harufu kama mavi, kama alivyonielezea nikashindwa kumpa ushauri na badala yake nikamwambia aende hosipitali ila si vibaya nikalileta hapa JF ÐOCTOR kwani humu kuna wataalamu wengi.
Changia tumpe ushauri mwanaume mwenzetu.