Kwa kawaida haja huwa inakuwa ya manjano au kijani hivi au udongo udongo...hii inatokana na rangi ya nyongo ambayo mara ningi ndio hutoa hiyo rangi. Ni mtoto mchanga, sitegemei kuwa amekula mboga za majani (au amekula, natagenmea atakuwa anayonya maziwa ya mama tu). Ila rangi ya kijani ni rangi ya kawaida ya choo, na si hali ya kutisha.