Hajafaaa kumbe kapiga pombe haramu asubuhi na mapema..

KAPERO

Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
46
Reaction score
8
Huwezi amini,, jamaa huyu maarufu sana kama kwa jina la Embe,, alionekana asubuhi sana akielekea maeneo kunako uzwa vileo vya kinyumbani/kienyeji. na baada ya kama nusu saa akakutwa kajilalia kama umauti umemfikia!!!:eek2::lol::eyebrows::sleepy:
 
namna hii si wazee wa mujini wanajilia ubwabwa......................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…