Mambo vipi ndugu zangu,.....mimi ni (ME) tatizo ni kwamba (KE) wangu hata siku moja cjamsikia akisema nimemfikisha kwenye tendo. hata hivyo bado najiamini kuwa huwa nafanya kazi yangu kiukamilifu na kwa ubunifu mkubwa, Lakini pia wanawake huwa wanajua kuwa hata sisi wanaume tunahitaji kuridhika? any way swali langu la msingi ni hili, kama sijaambiwa na mwenzangu kuwa ameridhika, mimi naweza tumia ishara gani toka kwake kujua kuwa nimewajibika kwa ufasaha, maana nikimuuliza anaweza kunijibu kuwa kafika lakini ikawa si kweli bali ananiridhisha tu!
Nawasilisha
Desa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
Mwanamke wakati anafika:-
- Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
- Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
- Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
- Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
- Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
- Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
- Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
- Kukuimba hata kwa jina lako
- Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
- Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
- Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
- KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO
Mkuu thanks,hata mimi binafsi nimepata somo la ziadaDesa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
Mwanamke wakati anafika:-
- Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
- Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
- Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
- Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
- Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
- Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
- Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
- Kukuimba hata kwa jina lako
- Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
- Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
- Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
- KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO
Mambo vipi ndugu zangu,.....mimi ni (ME) tatizo ni kwamba (KE) wangu hata siku moja cjamsikia akisema nimemfikisha kwenye tendo. hata hivyo bado najiamini kuwa huwa nafanya kazi yangu kiukamilifu na kwa ubunifu mkubwa, Lakini pia wanawake huwa wanajua kuwa hata sisi wanaume tunahitaji kuridhika? any way swali langu la msingi ni hili, kama sijaambiwa na mwenzangu kuwa ameridhika, mimi naweza tumia ishara gani toka kwake kujua kuwa nimewajibika kwa ufasaha, maana nikimuuliza anaweza kunijibu kuwa kafika lakini ikawa si kweli bali ananiridhisha tu!
Nawasilisha
Mku Sharp Observer,
Very good points! Hapo kwenye dondoo za point # 5 umesahau kuweka kwamba "Anaweza kukuuma bila yeye kujijua". (Ukiumwa tafadhali usikurupuke kukimbia. We tulia tu maana hayo ndo mambo ya "utamu kolea".)
Kumfikisha wapi kariakoo,posta au gongo la mboto.
Muulize mwenyewe! unanshangaza, mpenzi wako wewe halafu unashindwa kuongea nae openly, wakati mmeweza kuvuliana nguo? ME na KE nachukulia ni mume na mke.