Mbona fikirini unaniridhisha sana tu mpenzi wangu? yaani mpaka uje kuuliza watu humu? ina maana huoni kile kilio na vimachozi vinavyonitoka kweli, ina maana huoni navyolegea kweli, huoni navyokuchekea na kukufanyia kila unaloniambi, darling wangu tafadhali funga thread tukajadili home