tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
- Thread starter
-
- #21
Afrodenz una akili kama serikali. Huyo mdada hajamzimikia saana jamaa. Na inavyoonekana jamaa kama analazimisha hivi kwa mtazamo wangu. Demu sidhani kama ni wa kawaida.
ni kweli siyo wa kawaida, hata watu waliosoma naye wanathibitisha hilo, nadhan nina kazi ya ziada ya kumbadilisha
angalia utakuja lia siku moja, coz issue kama hii iliwahi mtokea jirani yangu, huyu dada hakupendi ila kuna ki2 unachomzidi,
yaani anakuwa na mashaka kwamba endapo akikata mawasiliano na ww atakikosa. Bt wasichana wa aina hii akishapata alichokitumaini mfn hyo ELIMU+KAZI atakuchinjia baharini coz hakukupenda toka mwanzo. Ni mchango wangu tu
kwenye blue
hata usije kujaribu ..
huwezi kumbadilisha mtu my dear ..
kama hataki kubadilika mwenyewe
kweli usijihangaishe..
angalia utakuja lia siku moja, coz issue kama hii iliwahi mtokea jirani yangu, huyu dada hakupendi ila kuna ki2 unachomzidi, yaani anakuwa na mashaka kwamba endapo akikata mawasiliano na ww atakikosa. Bt wasichana wa aina hii akishapata alichokitumaini mfn hyo ELIMU+KAZI atakuchinjia baharini coz hakukupenda toka mwanzo. Ni mchango wangu tu
Huyu ni msichana ambaye nilianza kumfatilia toka mwaka 2009 mwanzoni. Mwanzo aliniambia anihitaji, nilipojitahidi kumbembeleza aliniambi kwamba hakuna kitu anakichukia kama mapenzi japo hakunipa sababu zake. Muda ulienda na nilijitahidi kuweka ukaribu naye, huku nikiendelea kumuaminisha kwamba nampenda. Siku zilienda mbele na katika hali ya kutaka kunirudisha nyuma, akaniambia kwamba "ana mtu", kitu ambacho hakikuwepo lakini yeye alisisitiza hivyo. Ulipita muda bila kuwasiliana naye{alikuwa shuleni}, baada ya kumaliza form 6 mwaka huu alinitafuta, na tukaanza kuwasiliana tena. Lakini kila nilipoongelea suala la mapenzi, aligeuka mbogo japo alianza kuhitaji kujua habari zangu. Kuna siku baada ya kumshawishi sana alijibu " I dont luv 2 be urs", sms hiyo ilinifanya nimchunie, lakini baada ya wiki 2 aliniuliza "mbona kimya", nilimjibu kwamba "napenda sana kuwa karibu na wewe ila siwezi kuendelea kujiumiza", hapo naye akakaa kimya. Usiku wa kuamkia leo nimeongea naye kwa kina kama masaa 3, ndipo akanithibitishia kwamba hajawahi kuwa na mpenzi na wala hafikirii, nikamuuliza plan zake, akasema nimwambie kwanza za kwangu, nilimweleza ndipo naye akanambia kwamba ataingia kwenye mahusiano pale tu atakapokuwa na elimu+kazi yake. Alisisitiza sana niheshimu malengo yake. Kwa kifupi tumeelewana lakini hatujakubaliana. Nipo njia panda, je anaweza kuwa wangu na kunipenda?, na nahitaji ushauri wenu jinsi ya kumtoa katika hofu alizonazo.
mhm??? Hajawai, inavyooneka uyo msichana akuamini japo anakupenda, nakupa rule number one mkumbuke anapokukumbuka, usiwe mwepesi wa kujibu mesegi zake, rule number two mawasiliano yawe kwenye simu akikupotezea mpotezee,
Binafsi nimemfurahia huyo binti, mwanzoni nilidhani aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamume kisha akatendwa ndo maana alichukia mapenzi kumbe ni malengo yake tu ndo yanamfanya asijiingize kwenye huo mwenendo.
Mkuu jiulize kwanini unampenda huyo binti na mwisho wake utakuwa ni nini, kama unampenda kutoka moyoni basi utaweza kumuelewa na kumheshimu yeye na maamuzi yake. Unaweza kumvumilia kama unalenga kuishi naye kama mama watoto wako na hivyo lazima usikilize na uheshimu maamuzi yake. Kama unampenda kwa ajili ya kummega tu kisha umteme baada ya kufanya USED, basi hufai na hiyo tamaa yako ya zinaa.
nimeipenda hiyohuyo ni wako ila usiende kasi, ni msichana/mwanamke muelewa na anayejitambua, anamalengo kamili, anakupenda na wewe ukiwa mvumilivu mwishowe atakuwa wako, bali ni vizuri usifanye kosa ama jambo litakalo muonyesha kuwa wewe si muaminifu ktk masuala ya mapenzi, ANAKUCHUNGUZA ,ANAHITAJI KUPATA MWANAUME MKWELI NA AMBAYE ATAKUWA WAKE TU. kisha ondoa tamaa ya mwili yako juu yake litakuvurugias, KUKU WA KWAKO MANATI YA NINI........?
Mvumilivu hula mbivu mkuu ila chunga sana ucje sema cztaki mbichi hizi all the best.