Haji ghetto mpaka st.anna na kiti moto nusu kilo.

kama una uwezo wa kufanya hivyo kwann ulalamike?kiukweli hapo huna mtu just someone looking for alternative means...tafuta ambaye hata mkila ugali kwa mnafu anaridhika...

Yes, upo sahihi kiongozi, siyo nalalamika bali nimejaribu kutaka mawazo yenu wenzangu kama hii imekaaje kwani kabinti nakapenda kweli,ila I doubt kama na yeye ananipenda vivyo hivyo, asante kwa mchango wako pia Mkuu!!🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…