Haji Manara alikerwa na Viporo vingi vya Yanga lakini sio vya Simba.

Haji Manara alikerwa na Viporo vingi vya Yanga lakini sio vya Simba.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tuna viongozi uchwara wasiokuwa na uhakika wa wanachozungumza. Viporo vingi vya Simba Haji kanyamaza navyo kwenye mifuko ya tracksuit yake kimyaa.
 
nadhani alikuwa anazungumzia udhaifu wa kamati za ligi na TFF na udhaifu huo bado upo ndo maana leo hii simba anaviporo zaidi ya vitano.. huenda labda kama wangelitatua yale matatizo leo hii kusingekuwa na viporo vingi namna hii
 
Yeye alisema Yanga ilifanyiwa mazingira Kwa makusudi ili ishinde Kwa kutumia viporo. Kwahiyo tuamini kuwa Simba nayo imetengenezewa mazingira ya Viporo?
 
Back
Top Bottom