Yeye alisema Yanga ilifanyiwa mazingira Kwa makusudi ili ishinde Kwa kutumia viporo. Kwahiyo tuamini kuwa Simba nayo imetengenezewa mazingira ya Viporo?nadhani alikuwa anazungumzia udhaifu wa kamati za ligi na TFF na udhaifu huo bado upo ndo maana leo hii simba anaviporo zaidi ya vitano.. huenda labda kama wangelitatua yale matatizo leo hii kusingekuwa na viporo vingi namna hii
Yeye alisema Yanga ilifanyiwa mazingira Kwa makusudi ili ishinde Kwa kutumia viporo. Kwahiyo tuamini kuwa Simba nayo imetengenezewa mazingira ya Viporo?