Haji Manara alivyotoa chozi jana kuwalilia viongozi wake!

Haji Manara alivyotoa chozi jana kuwalilia viongozi wake!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG_7671-001.JPG
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG_7767.JPG
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG_7762.JPG

Kumekuwa na mjadala unatembea mitandaoni kuhusiana na Haji Manara kuangua kilio mahakamani Kisutu, jana.

Manara ambaye ni msemaji wa Simba, aliangua kilio baada ya Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ kutakiwa kwenda mahabusu baada ya kusomewa mashitaka ya utakatishaji fedha.

Suala hilo lilionyesha kumuumiza Manara ambaye alitafuta sehemu akakaa na kuangua kilio hasa baada ya kusikia wanakwenda mahabusu hadi Julai 13, kesi yao itakaposikilizwa leo.

Katika makundi mbalimbali ya Whatsapp ambayo yanahusisha Yanga au Simba, wengi wamekuwa wakimuonea huruma Manara kutokana na picha zinazomuonyesha akiangua kilio.

Wengine wamekuwa wakimtania kutokana na utani wa Yanga na Simba lakini asilimia kubwa wakimpa moyo kutokana na matatizo yanayowakabiri
 
Hahahah nimejikuta nacheka tu...jamaa anavyojifaragua kwa mijazba kila mara anapohojiwa lakini kageuka kuwa ndembe ndembe...kweli sheria hazijawahi kuwaacha watu salama...
 
Back
Top Bottom