Kama ni mwizi aende tu Mkuu wamefilisi timu yetu hawaMimi ni Simba damu lakini kwanini huyu haji asiunganishwe na yeye kwenye hiyo kesi??
Mpuuzi sana huyu haji, aliwe
We kidogo una utuPole sana mtani Haji Manara...
Niyo tayari Mkuu. Yeye asubiri Kama alishiriki wizi ajiandaeWakati Manji anasulubiwa yeye kwake ilikuwa kicheko hakujua kuwa dunia haina mwenyewe. Mzee wa kaya ni noma. arejee klabuni akakomae na usajili wa NIYOO
Yeah ni kweli, kila binadamu anapitia matatizo kadhaa na kumfariji sio vibaya..We kidogo una utu
Naona wewe ni mhafidhinaAmepewa adhabu na hadhabu ikiisha atarudi kwenye majukumu yake.
Au Simba wamemfukuza kazi?
Maana bado anapokea mshahara wa Simba akiwa kama msemaji.
Au kiswahili mwenzetu kipo kushoto?
Eiseee!hi kaliSONG: JELA
ARTISTS: Aveva & Kaburu feat Han Pope
PRODUCER:TAKUKURU
STUDIO: JPM RECORDS
Tangu tufungwe siku ya tatu imefikaa.
Bora leo hii Hans Pope wetu umefikaa.
Tupe japo repoti za usajiri msimbazii.
Twasikia Ngoma ametuacha mdomo wazii.
Kusema kweli mambo sasa magumuu.
Haruna nae ata hapokei yetu simu.
Si unamkumbuka yule Tambwe mabaooo.
Naye kabaki Yanga sasa mwendo wa mabaoo.
Kwa hali hii sasa ubingwa hatupati tenaa.
Na mwaka huu watalibeba tena mapemaaa.
Mo afanye ile mipango yetu.
Ili japo tupate nafasi ya tatu.
Hivi ni kipi hasa kisa na mkasaa?
Kilicho fanya mpaka sasa mpo hapa?
Nasikia eti mpeiba nyingi pesa.
Hiyo ni kweli hatuwezi kubishaa.
KIITIKIO:
Iiiiiiiiiii manara nyamaza weweeee!!!!
Iiiiiiiiiii nyamaza acha kuliaa!!!!!
ha ha ha awesomeMimi ni Simba damu lakini kwanini huyu haji asiunganishwe na yeye kwenye hiyo kesi??
Mpuuzi sana huyu haji, aliwe
Huyo sio manara hebu mtizame vizuri,manara ana mwili mdogo ila huyo jamaa anayelia ana mwili mkubwa njemba kabisaMimi siamini kama Manara alikuwa anasononeka kutoka moyoni. Huyu bwana ni genuine mwanaSimba na mwanamichezo. Aliwahi kusema kuwa pesa za Okwi zingekuja zingepelekwa kwenye Uwanja Bunju. Lakini alinyamazishwa kabla pesa kuingia. Cha ajabu pesa za Okwi kuingia tu kwenye akaunti ya SSC hata siku mbili hazikupita pesa yote ikahamishiwa kwa Aveva. NINA UHAKIKA Manara hakuridhika na hilo. Sasa kwa nini alie kiukweli??? Mafisadi wanashughulikiwa. Nasikitika Kassim Dewji hayupo. Naamini it is a matter of time naye atawafuata Aveva na Kaburu. Hawa watu wako SSC kwa maslahi yao sio ya Club
Ndiye mwenyewe huyo, ila amefura (amenenepa) kwa kwikwi za kilio. Ukilia au kwenda chafya lazima unatanuka mapafu na kwa hivyo mwili unavimba kidogo!Huyo sio manara hebu mtizame vizuri,manara ana mwili mdogo ila huyo jamaa anayelia ana mwili mkubwa njemba kabisa
Analilia walanguzi, Lazima nae alikua anapata ulaji
Pohamba weweee.kwny Msiba wa Tajiri Nyumba ndogo hulia kwa sauti kuliko Mjane