Unauliza jambo ulilofikiria ww..Sina maoni. Ninauliza tu
Mbona una harufu ya Ahmed semaji?Si alisema Simba atafungwa si chini ya goli 3 sijui. Madogo ambao hata bado hawana muunganiko wakawapelekea mafaza moto hatari wakaambulia kimoja tena na chenyewe wamepewa na Kapombe.
Kina Pacome aliyempamba sehemu zake juu ya magoti atakuwa amemwambia ebwana eeeh, tumeshinda ila cha moto tumekiona.
Mbumbumbu katika ubora wake. Hivi sijui unaonekanaje na una umri gani? Inawezekana hapo mtaani unspoishi kuna watu wanakuheshimu na kukuona wa maana sana kumbe humu JF ni Mbumbumbu na Juma Kilaza tu.Si alisema Simba atafungwa si chini ya goli 3 sijui. Madogo ambao hata bado hawana muunganiko wakawapelekea mafaza moto hatari wakaambulia kimoja tena na chenyewe wamepewa na Kapombe.
Kina Pacome aliyempamba sehemu zake juu ya magoti atakuwa amemwambia ebwana eeeh, tumeshinda ila cha moto tumekiona.
Siishi mtaani mi sio chokoraaMbumbumbu katika ubora wake. Hivi sijui unaonekanaje na una umri gani? Inawezekana hapo mtaani unspoishi kuna watu wanakuheshimu na kukuona wa maana sana kumbe humu JF ni Mbumbumbu na Juma Kilaza tu.
Huwenda ikawa sababu?Manara hana raha! Manara alitarajia kupokelewa kwa shangwe na vifijo huku akisindikizwa na mashada ya maua! Kwa bahati mbaya, hasa kule Instagram ambako Manara yupo active, asilimia kubwa ya comments za mashabiki wa utopolo walionesha kumhitaji zaidi Ally Kamwe kuliko Manara!
Mi nadhani ndo sababu kwa sababu jamaa hakutarajia kabisa! Yaani amekutana na bonge la disappointment.Huwenda ikawa sababu?