Haji Manara amewahi kucheza Soka?

Baada ya Manara kusema Kigogo kama yeye ni
Mwanaume ajitokeze hadharani sio anakosoa
akiwa amejificha,

Kigogo amemjibu kwa kuandika

"Manara nazisikia sana kelele zako! Kabla
sijakufyatua jikumbushe yafuatayo;

unamkumbuka yule mzee Tozi aliyefadhili
kampeni zako za udiwani 1995?

unakumbuka alikuwa anawafanya nini wewe
, Ante na Mopiza?

Sasa endelea na hizo ngenga zako utapata
unachokitafuta mdogo wangu.

Muulizeni Manara kwa nini anakaa tako moja"
 
Yap ni mnywa nyuka mwenzetu pembezoni mwa mlima Mongwe palipokuwa pameshamiri ugonjwa wa Zongweliasis.
 
Mkuu labda umesahau alipotoka mzumbe alienda Ilboru Arusha na Pale ndo alipoanza kujihusisha na soka.

Kama unaikumbuka kuna mechi moja alichezea AFC ya Arusha alipiga Kross alafu akaiwahi mwenyewe akaenda piga kichwa akaweka kambani.
Enzi za Azimio la Arusha
 
Mwenye ile picha ya Manara amekamatwa kwa utapeli aitume hapa.
 
Naikumbuka hii spana ilimkalisha chini Haji hajawahi kujaribu tena ligi na Kigogo kwani Kigogo alipiga pale paale penyewe juu ya affair yake na Mzee Tozi wa bandarini.
 
Huyo sasa
 

Attachments

  • JamiiForums-1290500738.jpg
    24 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…