Haji Manara amjibu Eddo Kumwembe

Huyu manara nilishamdharau siku nyingi,ulemavu wake unamsumbua si bure
 
Kama ulidhani kufungwa na simba mara tatu ndo ubingwa mbona hamkuwa nao miaka 4 ss mpaka mtu mzima unafikia hatu ya kulilia points za mezani?haya kama unazani yanga wanakutieni aibu kwann hamkwenda wakilisha nyie timu gani bwana hiyo kombe miaka 4 hujachukua!leo waja na maneno ya kifuani !mtu akisema kweli waongea ki chiliku ,hao mbao wenyewe mmewafanyia mambo ya ajabu kwa kuradhimisha ili angarau nanyi mwaka huu mkatoe ukungu nnje ,simba bwana mwachekesha sana unabishana na bingwa mara4 mfululizo[emoji32][emoji32]!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…