Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Alichokiandika Haji Manara
Mungu aendelee kukubariki Rais Wetu mpendwa Mama Samia Suluh Hassan kwa kutupatia Mkuu huyu Mwadilifu wa Mkoa Mh Amos Gabriel Makalla .
Ukiacha majukumu yake makubwa kama RC, kuna Jambo linatufurahisha sana toka Kwa huyu Kada Mtiifu wa CCM,,Nowadays Hatufokewi hovyo kila Saa.
Hatuambiwi tuamke alfajiri kufagia wala hatulazimishwi kupimwa Tezi Dume.
Mambo Ya Shisha kama Dubai tu, Kutuitia Wake Zetu maofisini Kwa RC ,Now hatuyaoni kabisa Mama.
Mh Rais, Watu wa Jiji hili hatupendi kusimangwa simangwa na kufokeana, RC Makala anazijua Mila,Desturi na Tamaduni za Jiji hili la Waungwana,,Anatuongoza Kwa Silka za Kidarisalama.
Imagine, Dar Sasa hivi usafi mitaani umeongezeka , Na wala RC wetu haringi na hana mbwembwe za kuita Press za kila Siku, anafanya mambo kimya kimya bila mipasho wala kutisha Wasaidizi wake.
Tunakushukuru sana Rais Wetu kwa hii zawadi ya huyu Mtoto wa Mjini kutuongezea Hadhal Balad , Yeye na MADC wake wanaupiga kisawa sawa.