Haji Manara amvulia kofia Kamusoko asema hapewi heshima inayostahili, anafaa kucheza Ulaya na sio bongo

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Huwa sifichi mahaba yangu kwa mchezaji anayenivutia uwanjani hata kama anachezea klabu nisiyoishabikia

Scara kamusoko hapewi heshima anayostahili nchi hii,ni level ya kucheza Europe.

-Manara msemaji wa simba sc

Je unakubaliana na maneno ya afisa habari huyu
 
Kama yeye ndio kamuona sa hivi. Mwambie sisi tulimuona toka alipokua timu yake ya Zimbabwe.
Though Thanks For The Appreciation
 
Hahaaa Manara kaanza chokochoko ebu ahangaike na timu yake awape heshima wanayostahili huko simbani
 
Manara mnafiki sana baada ya kuja Tshishimbi anajifanya kumkubali Kamusoko..sisi Yanga tunamkubali Tshishimbi zaidi hata Kamu anajua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…