Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
HM: MECHI YA KARNE YANGA NA SIMBA NYAMAGANA HITIMISHO
Haji Manara anashusha pazia kwa kueleza makubwa yaliyotokea Nyamagana mapema tu mechi ilipoanza kwa kuumia kwa Saad Ally.
Hapajapata kutokea ajali ndani ya uwanja wa mpira Tanzania iliyoathiri hisia za washabiki wa mpira kama siku ile Saad Ally alipogongana Gibson Sembuli na Saad akatolewa uwanjani hana fahamu.
Hili lilikuwa pigo kubwa kwa Simba.
HM ameahidi kipindi kizima kwa hili peke yake.
Msikilize HM akikuingiza ndani ya Uwanja wa Nyamagana mwaka wa 1974 na kukuweka viti vya mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app