Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Haji Manara(HM) na Mechi ya Karne Yanga na Simba Nyamagana 1974 - JamiiForumsHM: MECHI YA KARNE YANGA NA SIMBA NYAMAGANA HITIMISHO
Haji Manara anashusha pazia kwa kueleza makubwa yaliyotokea Nyamagana mapema tu mechi ilipoanza kwa kuumia kwa Saad Ally.
Hapajapata kutokea ajali ndani ya uwanja wa mpira Tanzania iliyoathiri hisia za washabiki wa mpira kama siku ile Saad Ally alipogongana Gibson Sembuli na Saad akatolewa uwanjani hana fahamu.
Hili lilikuwa pigo kubwa kwa Simba.
HM ameahidi kipindi kizima kwa hili peke yake.
Msikilize HM akikuingiza ndani ya Uwanja wa Nyamagana mwaka wa 1974 na kukuweka viti vya mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haji Manara(HM) na Mechi ya Karne Yanga na Simba Nyamagana 1974 - JamiiForumsNimetoka kapa labda nitaelewa baadae
Kobello,Hakuwepo uwanjani. Halafu haelezi yeye amezitoa wapi hizo habari.
Hakufanya utafiti, kahadithia Kama alikuwepo vile. SorryKobello,
Si tu kuwa Haji Manara hakuwapo uwanjani alikuwa hata kuzaliwa bado.
Kama mwandishi alichokifanta ni kufanya utafiti na katumia primary na secondary sources.
Huu utafiti ndiyo uliomwezesha kutayarisha hivi vipindi viwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kobello,Hakufanya utafiti, kahadithia Kama alikuwepo vile. Sorry