Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.

Haji Manara alijibu,

"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi life standard ambayo watu wengi hawaiwezi kwa sababu hawajipangii. Mimi sio tajiri kabisa".

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Mzungu mzee anapenda sifa,mara gauni 400m mara naweza ajiri wapishi 10...mzungu uwezo wa kula,kupanga,kupiga kelele ndio anao vingine katoo tu
 
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.

Haji Manara alijibu,

"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi life standard ambayo watu wengi hawaiwezi kwa sababu hawajipangii. Mimi sio tajiri kabisa".

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1

Vijana wa siku hizi bure badala ya kutafuta maisha mnashinda kufuatilia maisha ya wengine halafu mna lalamika na umasikini. Kuna kazi siku hizi Dunia nzima unaweza kufanyia kutoka Tanzania lakini badala ya kufanya research nyie mnaongelea machawa kucha kutwa🤔
 
Si tunajua yy tajiri na Zay akiachika zamu yangu nishawahi nafasi mapema
Wengine msubiri nikitoka 🤣🤣🤣

Ila wanawake sisi majasiri sana, nilivyo muoga na wazungu wa tandale sijui Zay kawezaje???
 
Back
Top Bottom