ko ikiisha ali kamwe anatolewa 🤣🤣 au anabadilishiwa kitengoHahaha! Anasubiria adhabu yake iishe!
😅😀ameajiriwa yanga kitengo gani...?
Mbona makamu wa raisi wa mkapa alikuwa anaitwa dr omar ali juma hakuwa na nyumba au wewe unazungumzia elimu ipi? Shule ya kata imekuharibu namna ya kufikiriHizo hela anazotapanya alikuwa na uwezo wa kujenga nyumba kubwa kuliko mwijaku.... kwel elimu ni muhimu
Hata babake Nape Mzee Mosses Nauye hakuwa na nyumba.Hapa duniani tunapita,ya Nini ujenge barabarani?Mbona makamu wa raisi wa mkapa alikuwa anaitwa dr omar ali juma hakuwa na nyumba au wewe unazungumzia elimu ipi? Shule ya kata imekuharibu namna ya kufikiri
Hahaaaaa mnajifariji. Inatakiwa ajenge aache kuuza sura. Kwako ni kwako na kunakusitiri siku 1.Hata babake Nape Mzee Mosses Nauye hakuwa na nyumba.Hapa duniani tunapita,ya Nini ujenge barabarani?
Mzungu mzee anapenda sifa,mara gauni 400m mara naweza ajiri wapishi 10...mzungu uwezo wa kula,kupanga,kupiga kelele ndio anao vingine katoo tuHaji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.
Haji Manara alijibu,
"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi life standard ambayo watu wengi hawaiwezi kwa sababu hawajipangii. Mimi sio tajiri kabisa".
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Mzungu tajiri wa kuzimia sio pesa,elewa neno kuzimiaSio tajiri kivipi wakati bibi harusi alivaa gauni la milioni 400?
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.
Haji Manara alijibu,
"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi life standard ambayo watu wengi hawaiwezi kwa sababu hawajipangii. Mimi sio tajiri kabisa".
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
nilichofanyiwa na mke mchaga sitosahau daimanyumba urithi iliyopo pale kkoo na ilala anasubiri ndugu kupungua au sio korogana kama kawaida ya watu wa kigoma walio na maeneo hayo.msioe wake kwenye list hii
wakigoma
wachaga
znz