Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

 
Hangaika na maisha yako kijana. Are you a demu?
 
Ishi maisha yako. Kufuatilia maisha ya watu hakukusaidiii.
 
Wewe ni ke ama me? maana ni aibu kujadili matumizi ya fedha ambazo hujui mtu anazitafuta kwa namna gani. Acha wivu na roho mbaya. Pambana upate hela na wewe ufanye matukio yako muhimu katika maisha!
 
Usije kuwa wewe ndo dullah makabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…