Haji Manara apandwa na wazimu baada ya Oscar kuilalunu serikali, ataka kulia studio

Sure!
Naunga mkono

Matendo ya chama chetu si sawa

Na tunapopewa feedback haina maana watu wana nia mbaya. Wanataka tubadilike. Vitu vingi vinabaddilika. Sisi tunajidai ndo ma master tutaendelea hivi hivi na hakuna litakalotutoa kwenye mstari.

Ni kujidanganya sana........mambo yalivyo, anayegoma kubadilika, atageuka mnara wa chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…