Haji Manara aropokwa tena sakata la Tuisila Kisinda

Jayden News

Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
29
Reaction score
94
“Hata haieleweki kimejibiwa kitu gani? Na kwa nini Issue ya Yanga uharaka wa kujibu unakuwa mkubwa mno?”

“Kanuni hizi hizi zilizombadilisha Chikwende Kwa Kahata?Kanuni hizi hizi zilizomhalalisha Kibu kucheza bila kupata uraia?
 
Safari hii atawanyoosha mpaka mkome. Na uzuri alikuwa ni mwenzenu. Na hata huo mdomo wake mchafu ametoka nao huko huko kwenu! Hivyo hamna cha kumfanya, zaidi tu ya kugugumia maumivu.
Sisi hatuhusu aisee!Tunamsikiliza kidogo yeye halafu tunamuangalia pale Karia anasemaje!Mambo ni wagadaa.😂😂😂😂
 
Hoja hujibiwa kwa hoja,nae hoja zake zina mashiko.
Jibu lake ni kwamba sio kanuni hizo hizo. Huo ulikuwa ni mwaka 2021 na kanuni zilikuwa nyingine (wachezaji 10 wa ligi na wachezaji 12 wa CAF). Kanuni za mwaka huu wachezaji 12 wa ligi na CAF ni wengi zaidi, lakini ni lazima useme nani atacheza ligi tu na nani atacheza ligi na CAF.

Usipotaja kwa jina TFF wanakata mwisho wa mstari. Simba iliweka wazi kwamba Kahata anatolewa kwenye ligi na anabaki CAF tu, na nafasi yake inachukuliwa na Chikwende. Niambieni ni mchezaji gani ambaye uongozi wa Yanga (sio Manara) umesema ulielekezwa akatwe
 
Manara anaposema kwa sheria hizi hizi kwanini asituwekee matoleo ya hizo sheria tuzione? anakwepa nini?

Halafu badala yake anaenda kuzungumzia uraia wa Kibu ambao TFF walishajiridhisha ni mtanzania? au Manara ndie kamzaa Kibu Denis?

Listen, Manara ni mjinga, anayeongoza kundi la wapumbavu mitandaoni.
 
Kuna siku litampata la kumpata
 
Hata yeye huyo Manara yawezekana ni mrundi .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kambole,halafu kwanini majina walipeleka CAF wakati dirisha la usajili Tanzania halijafungwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…