mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ila TFF ina wapumbavu wengi mno
Hatuna muda wa kujibu wapumbavu sie... Huyo kiboko yake ni Karia“Hata haieleweki kimejibiwa kitu gani? Na kwa nini Issue ya Yanga uharaka wa kujibu unakuwa mkubwa mno?”
“Kanuni hizi hizi zilizombadilisha Chikwende Kwa Kahata?Kanuni hizi hizi zilizomhalalisha Kibu kucheza bila kupata uraia?
Kwasababu wachezaji 12 wanaotakiwa walikuwa wameshatimia na kujiridhisha kwamba ndio watakaotumika kabla kisinda hajaja yanga.Kambole,halafu kwanini majina walipeleka CAF wakati dirisha la usajili Tanzania halijafungwa??
CAF wana deadline yao, tatizo hamjui kwa kuwa huwa hamshiriki. Onyesha mahali ambapo uongozi wa Yanga umetaja jina la Kambole likatweKambole,halafu kwanini majina walipeleka CAF wakati dirisha la usajili Tanzania halijafungwa??