Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Haji Manara, semaji la mabingwa wapya nchini Yanga wanaosubiri kutawazwa muda wowote kuanzia wiki ijayo, jana alikuwa na mambo mawili kwa wakati mmoja, kwanza alianza kuhamasisha watanzania kwenda kwa wingi uwanjani kuishuhudia Stars ikikabiliana na Algeria Leo, pili alikuwa akijigamba kuwa Yanga imeingiza bilioni 1 kwa miezi 6 ktk mradi wao, tena alikuwa akiongea utadhani anagombana na mtu.
Leo watu wamelalamika sana kuhusu idadi ya watu waliokwenda uwanjani kuwa haikuwa ikiridhisha hasa ukizingatia kuwa ilikuwa inacheza nchi, inashangaza kwann zikicheza Simba au Yanga tena usiku watu wanajaa, lkn kwa Stars haikuwa hivyo.
Sababu kubwa iliyofanya watu wajitokeze wachache ni Haji Manara, tangu ahamie Yanga washabiki wengi wa Simba wametokea kumchukia sana, hata wale wachache wa Yanga hawamuamini, wanamuona ni samjo samjo sana, Manara amepoteza mvuto, anapoongea anadhani kutukana au kuisema vby Simba ndio kupata followers au ndio nn sijui, jana press yake wengi hawakuhamasika, hata kesho Burundi vs Cameroon ambapo amepewa ubalozi wa kupromote hali itakuwa vile vile, nashauri Ili Stars ipate hamasa kubwa basi wamweke pembeni Manara maana uwepo wake umewagawa wengi na ss hv ameongeza chuki badala ya upendo.
Ni ushauri wangu tu.