Jana wakati Simba wanasaini mkataba wa Udhamini na SportPesa nimemuona Haji Manara akifanya kazi ya U-AfisaHabari na Mawasiliano.
Je ile adhabu aliyopewa ya kufungiwa kutokujihusisha na masuala ya michezo kwa mwaka mzima ikoje..!?
Karibuni kutiririka