GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni abdala na dula mambo yote yashamalizika mezani🤣🤣Eti leo ni......
Leo ni
Mariamu na Mam
Eliza na Liz
Bakari na Beka
Nassor na Cholo
Samwel na Sam
Fatuma na Tuma
Ujugu na Jugu
Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha.
This is GENTAMYCINE The King i know!! Manara amesema ukweli mtupu.Eti leo ni......