HAJI MANARA. Bora refa wetu wa hapa hapa, usilete ujinga.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kwa taarifa yako Manara ni kua kutaka mechi ya Yanga na Simba ichezeshwe na huyo refa wa nje umechemka kwani makomandoo wakitaka wanapanda nae ndege na kukaa pembeni yake kwenye ndege na kumaliza mchezo hapo hapo, kwani baada ya mechi huyoo air port, bora wa hapa ataogopa kulala kwake wiki nzima. Dawa msije tu uanjani mshuke daraja.MSIPENDE UJINGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…