Haji Manara: Bunge liingilie kati sakata la mechi baina ya Simba na Yanga

Manara nenda Mirembe ukapimwe maana umezidi kuropoka hivi kufikiri kabla hujaandika ? Unalitaka bunge liingilie kati what a joke wakati ulipokorofishana na Jerry Muro alipokupasha ulisikika ukisema waziri atasema kitu mara Rais atasema wakakupuuza hivi ni kwa nini huwezi kutumia akili kidogo kufikiri kabla hujaandika ? Ona sasa unavyoaibika kila wakati kuzunguka kwenye vyombo vya habari/Mitandao ndio maana watu wewe hujaenda shule
 
Hivi kuna mtu yeyote ambaye amemwelewa Manara maana naona kama ameandika katikati ya mstari (hayaeleweki)!
Yanga walisimamia matakwa ya kanuni. Simba walikosea kutii uamuzi batili wa kubadili muda wa mechi. Haji anachohofia na kumfanya kuweweseka ni hofu ya Yanga kupewa pointi 3 mezani.
 
Manara naye hamnazo kumbe?? Kwa hiyo yeye tatizo la kutochezwa kwa hii mechi chanzo ni Yanga?
 
Yanga kilichowaogopesha sana baada ya mechi kusogezwa mbele ni nini?
Nadhani ,,Yanga wapo radhi Simba apewe ushindi wa mezani dhidi yao lakini siyo waingize timu uwanjani kujitetea.
Simba iliathirika na hiyo dharula kama Yanga lakini kwa kuwajali mashabiki ikakubali kucheza ili mashabiki washuhudie mechi ambayo tayari wameshailipia.
Yanga haikujali mashabiki kwani haikutaka kupoteza opportunity ya kuikwepa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…