Haji Manara hajui kufuga ndevu ni Sunna na amrisho la Mtume (S.AW)? Afananisha wanaofuga ndevu na mabeberu ya kihutu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.

Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.

Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
 
Kweni bibi foxy anasemaje
 
Kufuga ndevu ni sunnah, sio lazima. Na hapo kajiongelea yeye binafsi sioni kosa zaidi ya complications zako.
Hili jambo ni zito sana, sio jepesi, nchi nyingine anapigwa dua ya Albadir
 
Nadhani inabidi muangalie na mtu mwenyewe,


Manara na uislamu wapi na wapi??


As long as kaongea yeye na hana uwakilishi/nembo ya dini basi aachwe yeye mwenyewe na ujinga wake.


Kwa anayofanya manara na uislamu havifanani hata kidogo, hivyo kauli zake sio za kuzichukulia kama kasema mtu anayeutambua uislamu.
 
Huyu Manara anadhalilisha uislam
 
Kwanini mnajadili ujinga usio na msaada hata kwake yeye mwenyewe aliyeamua kutaniana na mkewe?
 
Takbiiiiir
 
Zungu hajielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…