Naon kwot unapost pumba hz*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars
Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
.sidhani Kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki
NA KAMA ANGEKUWA ANA AKILI ANGESHTUKA ALICHOFANYA MURO NA ADHABU ALIYOPITA
SIKUAMINI MATUSI ALIYOTOA MBELE YA PRESS NA TFF IKAMKALIA KIMYA
LABDA NIMKUMBUSHE BWANA HAJI MANARA ULIPOMTUSI JAMAL MALINZI HUKUMTUSI YEYE UMETUSI FIFA HUYU N MWAKILISHI WA NCHI YETU KULE FIFA
NIMESHANGAA SAANA WAHAYA KUMKALIA KIMYA HAJI MANARA ALITAKIWA ASHIKISHWE ADABU NANI AMEMTUMA BABAKE AKAMZALIE KIMANZICHANA.. SI ANGEENDA KANDA YA ZIWA
MWISHO TUNAOMBA APEWE ADHAVU KALI ZAIDI IWE FUNDISHOOO
NADHANI ITAKUWA FUNDISHO TOSHA KWAMBA VILABU SIOO SEHEMU YA KUPATIA UMAARUFU WAKOO
Utani gani ule mkuu??! Tatizo kubwa hawa wasemaji hasa wa yanga na simba huwa hawajui mipaka ya kazi zao!! Huyo msemaji utadhani yeye ndio kocha, au mdhamini, mweka hazina, kwani povu likianza kuwatoka utadhani anaonewa kweli kumbe anawatia ujinga nyumbu wake(mashabiki).Utani wa simba na yanga usichukuliwe serious
.
Wa mjerry Muro tu, hakuna namna.
Mswahili bwana........sidhani Kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki
NA KAMA ANGEKUWA ANA AKILI ANGESHTUKA ALICHOFANYA MURO NA ADHABU ALIYOPITA
SIKUAMINI MATUSI ALIYOTOA MBELE YA PRESS NA TFF IKAMKALIA KIMYA
LABDA NIMKUMBUSHE BWANA HAJI MANARA ULIPOMTUSI JAMAL MALINZI HUKUMTUSI YEYE UMETUSI FIFA HUYU N MWAKILISHI WA NCHI YETU KULE FIFA
NIMESHANGAA SAANA WAHAYA KUMKALIA KIMYA HAJI MANARA ALITAKIWA ASHIKISHWE ADABU NANI AMEMTUMA BABAKE AKAMZALIE KIMANZICHANA.. SI ANGEENDA KANDA YA ZIWA
MWISHO TUNAOMBA APEWE ADHAVU KALI ZAIDI IWE FUNDISHOOO
NADHANI ITAKUWA FUNDISHO TOSHA KWAMBA VILABU SIOO SEHEMU YA KUPATIA UMAARUFU WAKOO
Mnayajuwa madhara ya kuhubiri ukabila?Amesema wahaya wamejazana TFF,malinzi,mwesigwa..........na timu kagera,mwamuzi mnazi wa kagera,uwanja kaitaba bukoba,mashahidi wahaya kutoka bukoba na amesema anao ushahidi wa TCRA malinzi akiamuru afisa wa ile kamati ya masaa 72 kutotangaza maamuziya kikao na amesema yuko tayari kuthibitisha yote hayo na popote pale shida iko wapi?
Weka post yako ambayo sio pumba kuipinga pumba ili tukueleweNaon kwot unapost pumba hz
Mkuu, usimpuuze. Akipuuzwa kwa sababu ni mlemavu wataibuka walemavu wengine na wasio walemavu kufanya makosa hayo hayo. Wakihukumiwa wakati Manara aliachwa wataona wanaonewa.Mnayajuwa madhara ya kuhubiri ukabila?
Huyu Manara ujinga aliofundishwa huko ccm na chuki za ccm ndio zinamuathiri.
Mimi nampuuza tu kwa sababu ni mlemavu.